@jy_miz0: Maliza kitambi🔥🔥 ndani ya dakika 4 ewe mwanadada🫵 , save hii video na jaribu kufanya ukiwa nyumbni🏡 #creatorsearchinsights #absworkout #abworkoutsforwoman #tzanzania🇹🇿kenyantiktok🇰🇪 #mazoezikwaafyanjema

J@y_miz0
J@y_miz0
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 October 2026 05:49:31 GMT
1714
82
10
6

Music

Download

Comments

pidany26
Pidan :
Mimi napenda mazoez magum walah nimesave ile ya wanaume hii ya wanawake naona itanichukua miezi kadhaa ya wanaume chaap t ndani ya mwezi unaona matokeo halafu raha ya misuli ya tumbo kukaza ni ngumu kuota kitambi yani😁🥰🥰
2026-10-13 08:52:01
1
menerokadizine
1234567 :
Asante tutajitahid kufanya 🙏🙏🙏
2026-10-09 06:48:52
1
everlyn.amoit
pendoo❤️❤️❤️❤️ :
na zoezi baada ya kukula ama kabla
2026-10-14 08:59:26
1
mwaisa_story
Drama Boy :
kazi nzur 🙌
2026-10-09 19:43:35
1
hansboy656
hansboy :
[Heart eyes]
2026-10-09 10:19:54
1
To see more videos from user @jy_miz0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About