@cawabemedia_: Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali Yahya Ramadhan Kido, amesema hakuna madhara ya kibinadamu yaliyoripotiwa kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea alfajiri ya leo mkoani humo. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mjini Bukoba, Kanali Kido amesema tetemeko hilo lilipitiwa katika wilaya za Bukoba, Missenyi, Karagwe, Muleba na Ngara. Ameeleza kuwa Serikali itaendelea kufuatilia hali katika maeneo yaliyoathirika na kutoa taarifa zaidi endapo kutakuwa na madhara yatakayoripotiwa. Wananchi wanahimizwa kufuatilia taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka husika kuhusu hali ya tetemeko hilo na maelekezo ya usalama.

cawabemedia
cawabemedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 October 2026 10:30:55 GMT
34162
684
28
57

Music

Download

Comments

user15078062901942
mama :
Amina boss wangu mungu ni mwwma
2026-10-09 13:30:23
1
phonedealer123
philosopher :
limefkia lile la 2016
2026-10-09 14:22:02
1
user6655465860066
mama mzaa chema 12 :
amen 🙏
2026-10-09 19:07:21
0
linus.diolex.jose
Linus diolex Joseph :
tunamshukuru mungu
2026-10-09 17:28:50
0
egbertmathias
Egbert Mathias :
Ahsante kwa kututia moyo Mhe. Mkuu wa Mkoa
2026-10-09 19:37:12
0
zaidiayahyazaidia
honey❤️💞❤️💞 :
watabiri waliiona el nino tu tetemeko hawakuliona
2026-10-09 19:49:22
0
eddmzaula
eddimzaula :
Asante kwa kutuletea tetemeko ila tunaitaka Eli nino
2026-10-09 19:43:47
0
patrickpaschal385
MWITA CAR PAINT :
kagela kawaida Hilo
2026-10-09 15:54:08
0
cherry_strawberry31
cherry_strawberry :
hivi iyo vendera ime simikwaje?? au mimi ndo nina shidavya tafsiri??
2026-10-09 13:00:33
1
son.of.god2004
son of God@2004 :
yapo madharaaa
2026-10-09 14:23:04
0
user2636767266916
zainabu :
Sasa tetemeko mbona walisema alnino
2026-10-09 17:36:36
0
user9520921910952
NTUZU OG :
mungu alinde taifa letu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏 na watu wake
2026-10-09 19:27:48
0
eston836
ESTON RABAN :
Mungu aepushie mbali tuzidi kuombeana
2026-10-09 17:09:55
0
elishakhantz
Elisha khantz :
mhmh ndio maana Leo nmeshtuka usku huku kyerwa
2026-10-09 16:43:45
0
user9242414813723
rozalia :
jina la bwana libarikiwe sana
2026-10-09 13:12:21
0
furaha.elias4
Sky star⭐ :
Hapo sawa kama hamna ambaye kafariki
2026-10-09 11:04:42
0
kaumbya6
🇹🇿Muala🇹🇿 :
alifikagi kijijini kwetu kunatikisikaga kidogo tu 😅
2026-10-09 11:30:13
0
egbertmathias
Egbert Mathias :
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuepusha na madhara makubwa vifo nk Mungu ni mwema
2026-10-09 19:36:12
0
user7363015316635
user7363015316635 :
Mungu tunashukuru Kwa tuliyoyaona/sikia. Tunaomba itoshe tu na tunaomba mvua za kututosha Kwa kipimo unachotukirimia Mungu wetu mwenye nguvu kupita kitu chochote
2026-10-09 11:27:18
0
joelkamazma
Joel Kamazma :
amen
2026-10-09 11:25:05
0
stevetumwesige
steve :
mm nyumba yangu imetenguka
2026-10-09 22:06:40
0
user4114621571961
onesmo :
tuombe dua kwahya yote yanayo tukuta
2026-10-09 16:02:32
1
swalehemabula139
swaleheb :
Sa ndo Kila mwaka ctenge budget tulitoe tuwauzie watariii
2026-10-09 14:17:22
0
son.of.god2004
son of God@2004 :
je kyerwaaa
2026-10-09 14:22:49
0
cumberba
AB-QCUMBER :
Sasa imeanza... rudini kwa Mungu wako 🙏
2026-10-09 16:18:34
0
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About