mungu wakumbuke yatima na wajane usiwaache usiwapungukie eemen
2026-10-10 05:08:05
2
Mom Queen🥰💕 :
mungu wangu naomba usiniondolee rohi wako mtakatifu niwe na hofu yako ndanni yangu Amina
2026-10-10 09:02:01
1
adeltus Nestory :
Mungu atubaliki atuongoze atuepushe na majanga amen
2026-10-10 08:42:10
1
Mimah :
ya rabb nilinde na kila shali
2026-10-09 21:49:42
2
jawadu hamadi🤠 :
loni nisiku muhimu kwa dad angu namtatakia maisha malefu💯 mungu azid kumuongezew miaka ming apa duniani kam leo kazid kukua🌺
2026-10-10 08:43:37
1
Ramadhani Mihambo :
Mungu mwema
2026-10-10 05:05:21
1
Raufu Majid :
ameena
2026-10-10 03:47:15
1
zablon petro 🙏 :
MUNGU endelea kutusimamaia tuishi miaka mia na ishilini🙏🙏
2026-10-10 04:22:13
1
papakinyi :
asante kwa ulinzi uhai na mengine mengi
2026-10-10 03:54:20
1
Nancy 9.4 :
ni siku ya baraka kwangu asnte mungu Kwa siku hii muhimu🙏
2026-10-10 03:58:50
1
Amina Yunus :
asant mungu kwa uzima nifanyia wepesi kwa jambo langu
2026-10-10 03:50:52
1
young boy55 :
mungu wanga mungu wang nakuomba uwitakase siku ya leo roho mtakatifu atawale kila maeneo amina
2026-10-10 06:20:03
1
fardza :
asante Mungu kwauzima mimi na familia yangu Mungu wewe ni mwema sana kwenye maiaha yetu Amina
2026-10-10 03:57:05
1
abduli :
ijumaaa kaleem
2026-10-10 09:39:59
0
Nelly Mo :
AMEN 🙏 🙏 🙏
2026-10-10 08:57:06
0
minah :
ameen
2026-10-10 06:41:04
0
MALUME🙏🙏💯👈💥 :
ikifika k1 mutaniaambia
2026-10-09 21:53:32
0
Patrick Yosia :
mung kila mtu atakae ona post hii pia bark family yang na watu wote wanaonizunguka ili siku ya leo ipate kua ya baraka kwetu sote amina
2026-10-10 05:22:58
2
mjero :
mungu nilinda
2026-10-10 04:44:41
0
Molly po :
amii
2026-10-10 05:04:51
1
pius Makoye33 :
Ahsant mungu 🙏🙏
2026-10-10 06:01:37
1
issakassim39 :
amen
2026-10-10 05:55:21
1
fundi kibinda injiniya waya :
MUNGU ibariki tanzania wabariki viongozi wetu utubariki sisi nasi wananchi wa Tanzania kwapamoja ushushe mkono wako wa upendo wako Kwa kila raiya wa Tanzania Ili upendo amani vitawale kwani ndiyo nguzo muimu toka ukombozi wa nchi yetu mpaka sasa tunashukuru kwakuwa MUNGU upo pamoja nasi wakati wote 🙏AMEN
2026-10-09 23:21:48
1
JEFF :
Amina
2026-10-09 21:58:20
0
To see more videos from user @intelligent.man09, please go to the Tikwm
homepage.