@ngbfadventist: USIKATE TAMAA, MUNGU BADO ANATAWALA! Hata safari ikiwa ngumu na majibu yakichelewa, usikate tamaa. Mungu hajakusahau; bado ana mpango na maisha yako. Endelea kumtumaini! 📖 “Mkabidhi Bwana njia yako, pia umtumaini, naye atafanya.” — Zaburi 37:5 #MamboYoteMapya #TumainiLinaanziaHapa