@manullangsubur: The upcoming $ITLG distribution will prioritize Level 1 verified users with consistent mining activity. Both individual and group mining rates are important criteria to keep in mind. Staying active and maintaining good mining performance can help users prepare for this distribution. #InterLink #ITLG #ITL

........
........
Open In TikTok:
Region: ID
Sunday 11 October 2026 06:48:08 GMT
113
26
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @manullangsubur, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeendelea na operesheni za ukaguzi wa vyombo vya moto nyakati za usiku, kwa lengo la kuhakikisha usalama wa abiria na watumiaji wengine wa barabara, pamoja na kutoa elimu kwa madereva na makondakta kuhusu umuhimu wa kuzingatia sheria za usalama barabarani. Operesheni hiyo inayoongozwa na Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Yusuph Kamotta, imeendelea kuimarisha ukaguzi wa vyombo vya usafiri ili kudhibiti ukiukwaji wa sheria za barabarani. Katika operesheni iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika eneo la Nala, jijini Dodoma, Jeshi la Polisi lilifanikiwa kulisimamisha basi la kampuni ya Best New Line lililobainika kuwa na abiria zaidi ya idadi inayoruhusiwa. Hata hivyo, katika ukaguzi huo, kondakta wa basi hilo alijikuta akibanwa kwa maswali na SSP Kamotta kuhusu suala la kuzidisha abiria, hali iliyomfanya ashindwe kutoa majibu yanayojitosheleza na kubainika kuwa hakutoa maelezo ya kweli kuhusu hali halisi ya abiria waliokuwamo ndani ya basi hilo. Kutokana na hali hiyo, Kamanda Kamotta alimuagiza kondakta huyo kumrejeshea fedha abiria aliyekuwa amezidi katika basi hilo, ili aweze kutafuta usafiri mwingine na kuendelea na safari yake. Operesheni hiyo ni sehemu ya juhudi za Jeshi la Polisi kuhakikisha madereva na makondakta wanazingatia sheria za usalama barabarani, ikiwemo kubeba idadi ya abiria inayoruhusiwa, kwa lengo la kulinda maisha ya abiria na kuimarisha usalama barabarani. #10YearsOfAFM #Miaka10YaAFM #VibesKubwaTOFAUTI

About