Mwanaume ukifanikiwa kutoka kwenye kifungo cha ndoa usioe tena we kula maisha , kula maisha , kula maisha
2026-10-11 12:38:04
17
kamote jr :
niulize mm story nzima
2026-10-11 13:09:50
0
officialmpole✨️ :
Full stop Nisiulizwe sababu☺️
2026-10-11 11:46:37
12
Aloka23 :
Baba yangu 1990 alimfukuza mama, asubuh sana na hawakuwa I kurudiana mpaka Leo, siku moja baada ya miaka 5 nkamuliza baba mbona ulimfukuza mama mzr kwetu akanijibu Victor Mwanangu kuwa na mama bora haimanishi baba yako Nina mke bora`kwa Sasa Nina mke naelewa na naona
2026-10-11 13:16:00
2
JAMES MICHAEL :
Naogopa hata kuoa asee
2026-10-11 13:04:45
1
The character :
Ahahahahaa pole
2026-10-11 13:05:24
0
Muniko :
Repostt
2026-10-11 12:22:38
1
66sk :
For the ones who can not repost
2026-10-11 12:23:30
2
VURU :
Iko sawa
2026-10-11 10:18:38
4
mwalami mzala :
na atakae watetea bado alijawakuta ila tuombe uhai na wao ipo siku watasema haya pia
2026-10-11 12:26:56
6
son :
Tawireeeeee mamaeeeee
2026-10-11 13:07:06
0
Boniphace xhakanaldo77 :
asante
2026-10-11 13:21:25
0
hanson :
%360
2026-10-11 12:05:55
1
crazyfootball⚽ :
Sahihi bro 💪💪💪
2026-10-11 12:12:22
1
Chuche :
M
2026-10-11 11:50:40
1
MSENEGO :
Yani mnanitisha adi naogopa kuoa du
2026-10-11 13:23:38
0
Engineer :
Sihitaj swali
2026-10-11 12:13:37
1
Yuzoh😉 :
kweli eeh?
2026-10-11 12:02:47
1
September26 :
2026-10-11 13:19:45
0
fadhili2002 :
kila nikiwaza nq kuitaji Kuoa Matukio yakuuwana yanaongezeka dah
2026-10-11 13:20:47
0
Swahili Talks Podcast :
amini kaka💔
2026-10-11 13:20:56
0
TOT>BAYA ZURI KWA BABA 🇹🇿✅️ :
uzur namm nakuwa bab bas ntajionea mm wenyewe
2026-10-11 13:37:27
0
beingmrst :
Comment z wadaa hakuna🤣🤣ila kwel sisi wanawake wabaya mno na haswa tukiwa hatukupendi
2026-10-11 13:26:25
0
simba_aluminium🦺 :
Ndo nishaoa na ufala wangu😅
2026-10-11 13:28:29
0
Swahili Talks Podcast :
kwa post hii tu asee nitakufoloow
2026-10-11 13:22:00
0
To see more videos from user @mondosha_shabani, please go to the Tikwm
homepage.