@bishir_1: Mabaharia wa Gulf mpo #saudiarabia🇸🇦 #bahrain🇧🇭 #oman🇴🇲 #swahilitiktok

Doctor Gulf ✅
Doctor Gulf ✅
Open In TikTok:
Region: OM
Monday 12 October 2026 23:47:36 GMT
5743
420
88
47

Music

Download

Comments

loicekadzonzaro
kadzo mudzo saidhi :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] kweli bro
2026-10-13 10:47:25
0
hmd.1221
Hmd 1221 :
kweli kabisa maneno yako broo [Tears of joy][Tears of joy][Victory][Victory]
2026-10-13 05:51:54
0
youngmullah14
Young Mullah14 :
oil money bro😂🤣😅😅
2026-10-13 05:48:55
0
user10681162924197
user1068116292419mwaj :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]na cheka kama mazuri
2026-10-13 04:47:09
0
umumuyeesir
ummu yeesir :
mm kk sirud[Crying][Tears of joy]
2026-10-13 09:05:33
1
ayonikhalfan
habibuty :
mie nikimaliza mkataba t nikirudi naenda kulea watoto wangu sokazi na nikiona nawaza kurudi omn nachoma pasipoti
2026-10-13 00:51:34
12
pili.beib8
Pili Beib :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] umeona pia wwe[Big LOL]
2026-10-13 09:32:21
0
nuru.omani
nuru omani :
mim kaka sirudi 🙏 ten weeee
2026-10-13 09:20:57
1
habiba.juma93
habiba juma :
maamuzi tu nimekwenda nyumbani nimekaa miaka 4 ndio nimerudi tena nikitoka hapa ndio basi tena nakwenda kuokota Mpeta🤣🤣🤣
2026-10-13 02:50:11
2
joharisix
Johari six :
akuna ata majini maisha tu
2026-10-13 02:20:53
1
user7145005340900
madam fetty :
kujiendekeza
2026-10-13 04:40:37
1
sada.habibu31
sada habibu :
hapa kaka usitupe past nikweli kaka ila mm naon tukifik kwetu tuzunguliwe na Dua. kwanz
2026-10-13 06:29:24
1
user8722342465915
Bint seiph :
mshahara mzuri kk japo tunapitia mengi
2026-10-13 02:35:56
1
anastaziabonphace
🇹🇿 Tanzania✈️✈️ :
Huu ni utumwa mimi nikirudi Tz sirudi tena naenda kulea wanangu na mama yangu, watu wanajiendekeza ndio maana watu wanatoka huku wanaumwa
2026-10-13 05:29:42
1
user5667144615885
lukray👣🌍 :
sasa tatizo lina kua nn jaman
2026-10-13 01:02:10
1
maua821
MAUA/ m🥀🌹 :
🤣🤣🤣hiyo nayo nikweli
2026-10-13 10:20:15
0
chichi23684
Nyar Tonga :
Apo Ni ukweli
2026-10-13 10:24:57
0
khaddojjj
Khaddoj :
Sio kuzowea maisha ya arabuni tatizo kwanza tatizo Tz Hakuna kazi pili ata ukirudi Una pesa zako biashara ngumu sana Tz unamaliza pesa maisha yanakuwa magumu hujui ufanye nn Ndio unarudi tena gulf
2026-10-13 10:33:39
0
kam50022
mwachonja :
hapa nakuoinga asilimia kubwa wanaorudi wanakua hawajafikia mtu anapotaka na kinachosababisha hiki asilimia 89 mshahara hawauzalishi mtu anatumia ule mshahara tu na kawaida pesa ya mshahara bila kuishuhulikia utakaa uarabuni maisha
2026-10-13 08:50:53
0
weshy.weshy6
weshy weshy :
yan huu ndo ukweli mi usema n mm tu ama wako kama mm ambao wakienda nyumban wakikaa miezi 3 tu wanahic upweke wanataka kurudi yan sio kua auna ela but kuna kitu kwa mwili kinakusukuma urudi uku yan kam jini hiv lakuita...mm kila nikirud kenya nasema sirudi pp yangu nitaichoma lkn wallahi sijui kwa nn ujiskia nije tena 😂😂😂
2026-10-13 08:49:37
0
user57692379104862
Mamy07mrema :
niunganishe mim broo naitaji kazi
2026-10-13 10:26:52
0
sheshe.kwemayogwe
Najma sheshe :
kumbe mtume😅😅😅😅😅
2026-10-13 10:34:26
0
my.love20847
My love♥️💚 :
mmmmh mung anisaidie nisiwe na hilo pepo la kutamani kurud huku walahh
2026-10-13 08:56:53
0
fabregas4482
fabregas :
si kweli.... nkuamua tu kila kitu ni kuamua
2026-10-13 08:50:15
0
omukhana.omutachon
omukhana omutachoni🙊🙉🙉🙊 :
mm nikama uzee ndio itafanya nitoke hii gulf 😂😂😂
2026-10-13 09:51:18
0
To see more videos from user @bishir_1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About