@chekabasi6: #nyerereday

😂📍 ChekaBasi TZ 📍😂
😂📍 ChekaBasi TZ 📍😂
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 04:50:55 GMT
32744
1751
166
437

Music

Download

Comments

agnesscharlz800
miss Aggy♥️😜 :
today is my Birthday 14 th
2026-10-14 07:51:19
0
saumkhaled
shaa28 :
na kuna ambao wanatamani kwenda ila hawana tushukuru Mungu kwa tulichonacho
2026-10-14 07:01:13
70
mr_banks48
bank's family's :
kugombanishana tu na boss wangu😂😂😂😂😂
2026-10-14 06:15:40
12
masunga38
Michael :
mm mshahara wangu natumiwa kwenye sm tena M pesa 😌😌😌
2026-10-14 04:57:04
21
martha.charles93
it's Martha :
nitalia nikiludi kazini 🥹🥹
2026-10-14 08:55:22
2
travismom20
Marrystella🧸🎀 :
Na asubuhi nimelia sana man nyumba nzima mm peke yangu ndo nimeenda kazini🥹😂😂👋
2026-10-14 07:17:09
10
behind_my_story
Behind_my _story :
Mi na boss hatukujua Kama leo ni skukuu[Tears of joy]
2026-10-14 07:45:33
5
user2523519284231
Mariam :
mkija hospitali mnataka huduma,halaf mnaatutambia
2026-10-14 07:35:44
6
jackmusictz
JACKMUSIC TZ :
overtime 😂
2026-10-14 08:10:37
0
salome72223
Sally's 💙💦 :
Nipo live muda huu😢
2026-10-14 06:33:28
5
ma.beel1
only pie🤩 :
tunaokutana na hii post kupitia wifi ya office tunalilia apa..🥺🥺😂
2026-10-14 07:59:06
8
meeggy2
meeggy2 :
Mie npo off Na tajiri angu wote tumepumzika na hatuna hela tunaangaliana 😂😂😂
2026-10-14 07:25:09
1
didahdepolite
didah🦋✨ :
nmekuja zangu ofisin Kwa ajili ya kuingia TikTok Kwa WiFi ya ofisi,nmemkuta boss nmeishia kupewa kazi😂😂
2026-10-14 08:50:07
0
dry_cleaner1
ZUU_LAUNDRY&DRY_CLEANER :
Bado nipo nalia apa 😂😂😂
2026-10-14 08:32:23
0
hopesamwel
hope :
Afu kunasisi tulio jiajiri nilikua nimesahau hatakama leo ni nyerereday🤣
2026-10-14 08:47:34
0
sixteendemwanga
cute D£ mw@ng@🌹 :
ambao hamjaenda kazini mje mnunue nguo za kwenda kula bata
2026-10-14 07:52:02
0
deejahl2
KIZIM BLOOMS💥 :
nipo hapa ofisini kwa wenyewe😂 nyieee
2026-10-14 08:33:30
0
margab501
MargaB🌸 :
Siyo anataka nipo kazini😔
2026-10-14 08:38:02
0
chuu5599
Ashley@🫂🥰 :
Acha tuu 😩😰
2026-10-14 07:51:59
0
joycesimon815
joyce@hk :
jina la wimbo please
2026-10-14 07:37:35
0
ladymagdalena
maggie :
nipo live kutafuta wateja
2026-10-14 07:23:36
0
nazminaactress
❤️Nazmina🦋🦋 :
Kuna nini maan ndo nimeingia kazini😂😂
2026-10-14 07:17:16
4
user1271600761659
sweet 😍 :
acha nilie tyu nimemkopesha na pesa yangu hajanipa
2026-10-14 07:07:13
0
user9998152165248
witty :
nmeona hii clip na wifi ya ofisi😂😂😂😂😂😂😂inabd ninene kwa lugha kabisa
2026-10-14 08:14:26
0
achiengvitalis
beauty with brain💔 :
sasa tukilala mtajitibu😂
2026-10-14 06:34:43
4
To see more videos from user @chekabasi6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About