hii post ndo naiona now nimetoka kununua kibiriti milioni 50 kumbe uku kipo cha milioni 23 😭😭😭 nimepigwa meme
2026-10-15 09:45:20
256
D..Vibe❤️ :
jmn nmeachka leo
2026-10-15 17:05:45
0
🦋BUTTERFLY -GLOW🦋✨ :
Naomba mnielekezee jinsi ya kublock watu huku tktok
2026-10-14 22:28:27
87
ricky :
jamn eeh me napuliza naona mmezidi sana
2026-10-15 09:52:25
16
SCARFACE :
uposawa kweli [Teary eyed]
2026-10-15 19:13:09
1
zm :
Ivi uyu police awamuoni
2026-10-15 08:43:28
23
mamyli🦋💞 :
kwan ada y milembe sh ngapi
2026-10-15 18:05:25
11
wali nyani :
daaaaah 😂😂😂😂😂😂
2026-10-15 16:59:21
0
Big mouse :
million 13 au23
2026-10-15 00:46:32
16
MISS NAAH 💃😇 :
mimi waneniuzia mil100 kumbe we unauza milioni 3 nimetapelewa tyr
2026-10-15 09:56:02
12
khaira💕💕💕💕💕 :
kwann unyoi babaas pendez bc we ni brand
2026-10-15 07:26:34
1
Rahma Little China :
Nifungie vya billion 1
2026-10-15 19:11:13
8
Sultana Luxe :
Halo dr ameanza tena ulisema zile dawa mbili tuchanganye zote??
2026-10-15 16:35:32
3
Essie🏝️ :
Nna million 12 na lake nane tajiri
2026-10-15 18:05:29
4
chocoleti girl :
naomba unibrock niskuon popote pale make mimi maskin naogopa hd kwenda dukn saiv kununua kibrit cha shilng hamsin mwenzak uku nibrock chap chap utanifanya nisiwe naenda kununua kitu chchte nikafa na njaa
2026-10-15 09:54:42
5
Cashumirhy4112 :
2026-10-15 17:29:46
1
pretty ney🦋♥️🌹 :
unapata faida kwel😂😂😂😂
2026-10-15 18:05:41
2
𝐒𝐚𝐥𝐚𝐡🌹𝐜𝐡𝐫𝐢𝐬 :
ila kuchanganyikiwa
2026-10-15 18:04:58
1
oviedotz.10 :
Mamaeeee😂😂😂😂
2026-10-15 12:34:22
4
J💎 :
mbona unauza bei ndogo Sana vitakuwa fake ivi🤣
2026-10-15 16:31:37
1
RASHY MAN💯 :
naomba nielekeze jinsi ya kuto kuona video zako,,yani hadi kipindi upo na chumvi nying sijawahi kukubali,hikifika kipande chako narusha
2026-10-15 08:27:27
1
BURACK💞 :
ona mpaka mwenyew anajicheka🤣🤣🤣
2026-10-15 17:02:37
2
🦋mam J💞💦💫 :
wewe
2026-10-15 09:51:45
1
A Woman of God 👸 :
kila napoenda upo 😂😂😂
2026-10-15 15:57:05
4
JOSEPH R :
2026-10-15 06:14:09
1
To see more videos from user @chagama_mnyama, please go to the Tikwm
homepage.