Uhakika broo me nimegundua kaka zangu bab mmoja mama mmoja nimewapigia simu naadae ya maongezi sijakata simu nikasikia walivyokuwa wananiponda wkt wao ndo wakubwa lkn mie Mdg kwako nawasaidia kila kitu hivyo kuanzia siku hiyo nakaa kmy tu na mambo yangu
2026-10-16 17:42:47
0
user8332051528432 :
ukweli kaka🤣😂🤣😂
2026-10-16 12:03:21
2
𝕠𝕞𝕪 𝕔𝕙𝕚𝕟𝕠 :
𝕚𝕜𝕠 𝕤𝕒𝕨𝕒 kabisa
2026-10-16 17:25:57
1
꧁Tommylee꧂ :
kweli kabisa
2026-10-16 17:37:47
0
To see more videos from user @abouzaki_tamim7, please go to the Tikwm
homepage.