iy haina tofauti na subway sufers kwa sababu haina Radha ya Efootball yenyew 😂😂
2026-10-17 10:38:40
18
vannie_sk :
raha ya game ni PVP online unajua utamu wa division hasa uwe wakati game limekukubali unakuwa unatembeza dozzy tuu
2026-10-17 23:10:28
7
Collider :
Kuna raha gani Sasa hapo game haikupi challenge 🤣 eti offline Yani ukute coins znaelea tu kk iyo offline mode itatia watu ujinga .mtu ujikute na delpiero,Zlatan, Buffon
2026-10-18 02:43:25
6
said said salum :
utamu wa efootball ni online
2026-10-17 22:24:21
7
VlRUS VIRAL ⚜️ :
iyo itakuw Ni exhibition sasa😂😂😂
2026-10-17 15:55:16
5
awiti de son :
nishalipata ninalo
2026-10-18 16:07:50
0
Joel Dox :
n online acha uongo
2026-10-18 06:09:07
3
ezekiel :
na mm naitaji
2026-10-17 13:03:30
2
Makavel komba :
so kweli
2026-10-17 14:48:28
0
Shelby☠️💢 :
Kama huchezi PvP haina haja
2026-10-17 23:25:36
4
Stan Star 45 :
Mbona uongo umezidi
2026-10-17 10:54:14
3
critus malima :
sa siushasema off line kuna nn ss😏
2026-10-17 12:56:00
2
BLACK.G.DAVE :
so unaipata wapi
2026-10-17 12:51:06
2
pjo :
let's go
2026-10-17 22:29:07
2
To see more videos from user @gamesseriez, please go to the Tikwm
homepage.