@hung_kaki: ÁO BA LỖ COTTON #xuhuong #hungkaki #aobalo

HÙNG KAKI
HÙNG KAKI
Open In TikTok:
Region: VN
Saturday 17 October 2026 15:23:18 GMT
1015
3
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @hung_kaki, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Nilivyosema kuhusu El Niño kwamba sio kwa sababu ya Climate Change na Ozone Layer depletion bali ni kwa sababu ya Miamba ya Dunia (Tectonic Plate) kutikisika watu waliniona kama nimepungukiwa akili. Maswali mengi kutoka kwa wabishi yalikuwa:
Nilivyosema kuhusu El Niño kwamba sio kwa sababu ya Climate Change na Ozone Layer depletion bali ni kwa sababu ya Miamba ya Dunia (Tectonic Plate) kutikisika watu waliniona kama nimepungukiwa akili. Maswali mengi kutoka kwa wabishi yalikuwa: "Unatumia Sayansi gani, mbona sayansi tunayoijua haijasema hivyo.!?" Wengine wakasema "Unafuata uchunguzi wa mamlaka gani, mbona USGS, TMA, NOOA, NASA na wengine hawajasema hivyo.!?" Nikajua hapa naongea na watu wanaofata matamko ya wazungu ndo wasikilize, ila sio mimi mswahili. Nikaja baadae kuongeza kuwa Tectonic Plate Movement zinasababisha pattern za hali ya hewa kwenye bahari ya Pacific zibadilike tofauti na El Niño nyingine ambazo zimezoeleka, watu wakabisha pia.! Sikukaa mda mrefu sana nikawaambia kutokana na sababu zangu zote tatu: 1️⃣Solar Flare 2️⃣Tectonic Plate Movement na 3️⃣Solar Eclipse, of course, tunaweka na kiasi Kidogo cha Human activities, basi tutegemee kupata majanga ya aina mbili kwenye Dunia. Majanga ya upande ambao uliona kupatwa kwa Jua yatakuwa ni Moto, Jua na Joto kali huku upande ambao ulikuwa "nyuma" kule ambao hawakuona kupatwa kwa Jua wao watapata majanga ya Barafu Mvua na Baridi kali. Semeni wenyewe matokeo..... Sikukaa siku nyingi nikawaambia kuwa El Niño sio Mvua, wala sio kwamba matokeo yake yanatakiwa kuwa mvua kubwa, mkumbuke kuwa na joto kali nalo ni matokeo ya El Niño. Na El Niño ya mwaka huu ina patterns tofauti kabisa na zile El Niño zote zilizowahi kupatikana ndani ya miaka 500 iliyopita. Waliobisha niliwaambia "Subirini mamlaka zenu mnazoziamini zije ziseme tuone kama zitanipinga au zitakubaliana na mimi" Leo mambo ni kwa ushahidi.! Wanaoni-tag kwenye video za matamko ya TMA mnasema wametoa kwangu, ni kweli lakini jalini na usalama wangu maana, siku hizi uhuru wa kuongea ni mdogo sana Mimi ni Cekam Cekam's mdadavuaji wa sayansi ngumu kwa lugha nyepesi.! Kwa leo CIAO.

About