@ali_wisdom: Sehemu ya thamani zaidi kwenye maisha yangu ni moyo wangu... Simkaribishi yeyote mpaka niamini nia yake, Na siamini nia hiyo mpaka nimkabidhi udhaifu na unyonge wangu mikononi mwake. Tafadhali....usiugeuze kuwa silaha dhidi yangu.💔 #creatorsearchinsights #viralvideo #foryou