@tuamshetena: Mungu atusaidie sana 🙏

Tuamshe_tena
Tuamshe_tena
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 18 October 2026 09:43:55 GMT
20865
1698
44
117

Music

Download

Comments

dorcaskaaya7
Dorcas Kaaya :
Duh!mbona anawachanganya watu jmn,
2026-10-30 03:42:42
0
gm5469
Nazaro :
okoka mchungaji
2026-10-18 16:20:06
2
hassanmugire
OTSeI tutu :
huyu pastor huwa hanibariki kbsaaaaaaa ingawa mimi pia ni msabato,,,, tunayaweza mambo yote katk yeye atutiaye nguvu,,, ndiye atabariki shunguli zatu za kila siku atatubarik tuingiapo na tutokapo,,,,
2026-10-25 08:07:30
1
oscarlupilya
𝐎𝐬𝐜𝐚𝐫𝐋𝐮𝐩𝐢𝐥𝐲𝐚 :
Kuna namna mwamba kakaa kwenye kupotosha kabisa...
2026-10-29 04:38:56
0
user2022249725252
mr don'tcare1 :
kuna wengine bila maombi ndo unaisha kabisa ,,,acha waombe mkuu
2026-10-18 14:27:15
1
bettymbelwa
Avocado Oil Producer Tanzania :
Tumeomba Mungu aende nasi Kila mahala.
2026-10-18 13:16:15
2
costantino_tz
CHRISS DESS💎 :
truth fact,,binadamu wanapenda kudanganywaa ,ndomana hata ukienda kwa mganga akikwambia labda haufanikiwi kwasababu una matumizi mabovu ya bajeti,utamuona anakukosea,ila akikwambia unalogwa na fran basi utaamini na akikupa dawa utaona kakusaidia kumbe ,tulisha aminishwaa kuaminishwa uwongo,ndomana unakuta mtu anajikuta jukumu lake anampa mungu ,,lisipokamilika anaanza kusema mungu anisaidii
2026-10-27 07:45:47
3
user7372481755325
user7372481755325 :
Mungu ni wa wote wema na Kwa waovu
2026-11-09 18:44:36
0
emmanuelelisha249
Elisha :
Hapana, kufaulu bila ombi ni sawa, lakini kunakitu kinaitwa hatima ya mtu hiyo uwa haifananani, pia mapito na vita huwa haviendani, mtu anamuombea mtoto wake afya njema ya akili na mwili siku ya mitihani ili aweze kufanya vyema,, kuombea kila kitu ni muhimu sana si kwa sababu Mungu hafanyi bila ombi bali ni kwasababu tunavita kubwa hapa Duniani.
2026-11-12 16:32:13
0
dan....mlwanda
D Machenje 🇹🇿 :
we pasta vp
2026-10-30 17:25:04
1
magnifico078
OFFICIAL MAGNIFICO :
Mungu akubaliki
2026-11-02 06:45:00
0
yusuphwambura1
YusuphWambura :
kama ukimsikiliza kwa hasira huwezi kumuelewa anayohubiri, ila ukifungua akili vizuri utaelewa.
2026-11-03 16:19:04
0
kizzbas
Issac Mussa :
kwel
2026-10-18 17:02:00
1
boazjd4
BoazJD :
kwahio tusiombe !
2026-10-28 11:49:08
0
user6881442709233
Msilanga@# :
hahhah😅
2026-10-18 16:58:21
2
namshady.090
Namshady 09 :
mhh
2026-11-05 04:01:54
0
plakisedakakulu
plakisedakakulu :
ameni mungu akubaliki
2026-10-18 10:06:29
0
user4498000930904
Amani zamura :
Amen amen amen
2026-10-18 17:21:39
1
officialdrivertruck
Official driver truck🚒 :
Nyakati zamwishow
2026-10-18 17:06:20
0
saimon12509
saimon Maswali :
Amina kweli kabisa
2026-10-18 17:14:09
0
dasmgumu
7mGuMu :
2026-10-18 17:36:47
0
mnyorotz
Mnyoro :
kwel
2026-11-12 18:50:16
0
julianusrwechungu
jay deo :
kama unatafakar vizur pastor uko sahii yan kunamambo mambo tunafundishwa ila mmmh ila uzur pastor hajakatA neno anakataa tafasiri
2026-10-27 20:06:35
0
money.hustler4
money hustler :
mchungaji iko kitu ata mm nlikuwa nakiwaza asante umegusa leo wanatafsir vbaya neno na wameshindwa kuelewa maan ata ye anakupa ata usipotaka ilmlad yatimie saa ukiomba na ukakosa ni sawa na kujishusha iman wkt mungu anampa anaestail
2026-10-22 11:03:52
0
tee06357
tee🌹🎧 :
Amen
2026-10-18 12:53:17
0
To see more videos from user @tuamshetena, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About