Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@littlecrownn_: ❤️🔥JOIN LIVE SEKARANG❤️🔥 Stop scrolling ya moms, diskon up to 15% hari ini gacor banget. Amankan size couple mommy & si kecil 🥳🤩🛒👀 #joinlivesekarang #couplemomandkids #diskonspesial #mixandmatch #atasancouple
Littlecrownn
Open In TikTok:
Region: ID
Monday 19 October 2026 03:12:40 GMT
3508
13
0
0
Music
Download
No Watermark .mp4 (
2.29MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
2.69MB
)
Watermark .mp4 (
2.29MB
)
Music .mp3
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @littlecrownn_, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
I love this song and o needed to make a Fedri edit with it (I miss seeing them going to practice together in the car) #ferrantorres #pedrigonzalez #fedri #fyp #fyppppppppppppppppppppppp
@lienquanmobile_garena #LienQuan10Fest
This should be the EU’s bank note.
SISTER THEODORA FAUSTIN AWATAKA WAZAZI KUWALEA WATOTO KATIKA UTAMADUNI WA HISANI NA KUJALI WENYE UHITAJI Sister Theodora Faustin, Mkuu wa Shule ya Sekondari ya St. Joseph Cathedral High School, ametoa wito kwa wazazi na walimu kuwalea watoto katika misingi ya huruma, ukarimu na kuwajali watu wenye uhitaji, akisisitiza kuwa watoto wanapaswa kujifunza kushirikiana na wenzao wenye changamoto za maisha tangu wakiwa wadogo. Akizungumza wakati wa Matembezi ya Hisani, maarufu kama Charity Day, Sister Theodora amesema watoto wanaolelewa katika familia zenye uwezo wa kiuchumi wanapaswa kufundishwa kutambua kuwa si kila mtoto ana nafasi sawa ya kupata mahitaji muhimu kama chakula, mavazi na makazi. Amesema ni wajibu wa wazazi kutumia mazingira ya kila siku kuwaelimisha watoto kuhusu changamoto zinazowakabili watu wengine katika jamii, ili kuwajengea moyo wa huruma na utayari wa kushiriki kile walicho nacho na wenye uhitaji. Aidha, ameeleza kuwa shule za Kanisa zina utaratibu wa kuwasaidia wanafunzi kutoka familia zenye changamoto za kiuchumi kupata elimu kupitia ufadhili wa majimbo na wafadhili mbalimbali. Amesisitiza kuwa shule hizo pia huweka msisitizo katika usawa wa wanafunzi kwa kuhakikisha tofauti za kiuchumi hazisababishi baadhi yao kujiona duni mbele ya wenzao. Sister Theodora amebainisha kuwa malezi ya kiroho na kijamii ni muhimu katika kumjenga mtoto mwenye utu, akisisitiza kuwa thamani ya mtu haipimwi kwa mali alizonazo, bali kwa tabia yake, utu na namna anavyowatendea wengine. Amehitimisha kwa kutoa wito kwa wazazi na jamii kwa ujumla kushirikiana katika kuwalea watoto wanaotambua umuhimu wa kutoa, kusaidia na kuwajali wengine, akisisitiza kuwa malezi bora yanapaswa kumfundisha mtoto si tu kupokea, bali pia kushiriki alicho nacho kwa ajili ya ustawi wa wengine. Imeandikwa na Izahaki Mwacha #KanisaKatoliki #mkombozicommercialbank #Tanzania #BaloziwaAmani #breezonlinetv #woisooriginalproducts #CharityDay #news
#animal #swan #unlockmylikes #blowthisupforme #xybca
Nhìn chip trưởng thành the #xuhuong #xuhuong 🐥
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy