Nitafute tu hela ya ndege nifie angani kuliko nife kwa pressure hii😅🥹
2026-10-19 13:37:27
8
Glady Makinda🇹🇿 :
nilishawahi kutapika nusu nizimie dah 😂🤣🤣 Yani hadi unatapika upepo
2026-10-20 12:08:34
2
martha ezekiel :
hata buree mtanisamehe niacheen huku huku tu madale nishakuzoea
2026-10-20 07:18:15
3
Sada Moh'd juma :
watu wanacheza na bahari vby khaaa
2026-10-19 11:33:19
5
Wizzpark 🐐 :
Wanangu wa kidau
2026-10-19 15:38:25
3
WENDY :
mm na safar ya kwend uko sizan kama nitawez🥺 najiona kabis
2026-10-20 06:31:05
2
annahprez5 :
huyu azam kaanza lini hivi vitu jamn ni vya zanzibar 1[Snicker]
2026-10-19 16:23:18
3
Miss muuh :
m natak Tu kujuag camera man anakaag wap😂😂
2026-10-19 13:37:59
2
Princess :
Iyooo lini iyoooooo🤣🤣🤣🤣
2026-10-19 05:46:12
7
Abdul Manish :
oyaa deby ya leo 🔥🔥🔥🔥😁😁
2026-10-19 07:01:17
2
Ashuu mamy henna🥰🦋👌 :
siku yangu ya kwenza kwenda daar hio boat niliopanda kilimanjaro 4 mamaaaa boat inafanya kudidimia ndani nasema mie kwishaa leo nakufa ila mpak leo kusafir naogopa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-20 12:23:23
0
Waddy🌹🤍 :
Ngoma inakata ad raha
2026-10-19 19:14:01
2
Johnny Mcheshi :
apo najiuliza tu awo waliopanda kwende viboti vidogo roho hua inakua wap wanavyokutana na hio kubwa inawapita krb
2026-10-19 14:58:37
3
RAIS WA MAISHA YANGU :
zanzibar mtanisamehe kaeni wenyewe
2026-10-19 12:00:32
1
mgaya80 :
kilimanjaro viii inapitwa na zanzibar 2
2026-10-21 06:57:50
0
Irfan Said :
Nitapanda ndege tu kwa kweli. nitadunduliza
2026-10-20 20:11:04
0
ivana :
Jmn kwenye uwo mtumbwi wamepona kwel
2026-10-20 04:58:21
0
Amina. Princess :
kani hiikamera inaelekod inaakaag wapi
2026-10-19 18:46:49
0
Abaa1538 :
umekosea kdg kuedit
2026-10-19 18:10:32
1
Hamis Masud :
2026-10-19 11:00:21
0
To see more videos from user @sailortz2311, please go to the Tikwm
homepage.