@newsupdatemedia: NANI PRODUCER MKALI TANZANIA? Bongo Fleva ina maproducer wenye majina makubwa, kuanzia P Funk Majani, henzi izo ,,Nahreel, Lizer Classic, S2Kizzy, Mr T-Touch, Abbah Process hadi Man Water! nawengineo Kila mmoja ana sound yake na mchango wake katika muziki wa Tanzania. Lakini swali ni moja: Nani mkali kuliko wote? Je, ni wa zamani au kizazi kipya? Andika jina la producer wako namba moja kwenye comments! #newsupdatemedia @presenterimma_stopper ✍

NEWS UPDATE MEDIA
NEWS UPDATE MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 11:41:00 GMT
178489
3812
191
64

Music

Download

Comments

maneno013
Chief Mwene :
yule wa guudi vep
2026-10-21 11:33:56
0
cutekirah_01
shakiraTz :
s2kizz, lizer ,good master ,tron🔥🔥🔥🔥🔥
2026-10-20 19:42:40
3
itswouldwide0
🌎WOLDWIDE🌍 :
Touch sound gather here
2026-10-21 04:45:14
1
mtotowababaangu2021
MTOTO WA BABAANGU2021 :
T TOUCH🔥🔥
2026-10-21 19:02:05
1
cosmasjoseph8
FARTHER✝️ :
T. TOUCH tuondokeeee♥️♥️
2026-10-19 14:17:45
91
masheyn_perfume
MASHEYN PERFUME ✅💐 :
jinix66 yupo wap?
2026-10-19 16:37:56
13
typing5988
Typing 45 :
tupo na Touch kwanza tuachen kwanza
2026-10-19 20:54:59
39
durbanvictor1
victordurban658 :
nahreel on the beat
2026-10-20 16:40:19
1
afyadynasty
Afya dynasty :
kuna yule ina sema oh my god is better sound🔥🔥🔥
2026-10-19 17:52:12
7
user97030449011550
Mbogela. :
mr T touch hatari sana
2026-10-21 08:32:27
1
jumovicwwide
ᴊᴜᴍᴏᴠɪᴄᴡᴏʀʟᴅ 🎭🎮 :
kinanda mesen selecta kama imerekodiwa jana
2026-10-19 19:54:38
6
mligofamily7
MLIGO SPORTS :
lizer
2026-10-20 16:22:01
1
kumbwanga.gang
Kumbwanga Gang :
ttaouch kig africa 🌍
2026-10-20 06:29:34
5
user61681849670662
Juve K. Julius :
t touch
2026-10-20 08:11:51
0
ramaah.mchomvu.tz
TROP@Z!!!§ :
Poul Maker
2026-10-19 20:03:11
2
michaelmanula1
michaelmanula3 :
wamechokoza bea🔥
2026-10-19 19:29:29
5
nzonziboy
Nzonzi private driver :
mmemsahau jamaa moja mkali kinoma anaitwa lufa
2026-10-20 19:04:32
1
johnson.couture
Johnson Couture :
bea fundi sana
2026-10-20 13:24:42
1
fedricksancho7
FEDRICK SANCHO 🇿🇦🇹🇿🥰 :
x66 wapi
2026-10-20 11:05:24
1
mudrick.morayo
Morayo :
Nareel 👑❤️
2026-10-19 18:32:42
3
youngleem6
Bad lee :
lizer mnyama sana
2026-10-20 10:36:21
2
muriu.n1
muriu.n :
good master💯
2026-10-19 21:31:14
1
fanuelkatembo
Fanuel Katembo ☑️ :
s2kizzy
2026-10-20 05:44:56
2
directorgaming2
Director Gaming🛞🇹🇿 :
Na Mr T Touch..Touch🔊🔊
2026-10-19 21:37:43
4
promise_official.20
@promise_official.20~ :
umemsahau kene
2026-10-20 07:01:00
2
To see more videos from user @newsupdatemedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About