@itssel.na: berdamai dengan masalalu tidak sesederhana... #buku #jikakitatakpernahbaikbaiksaja #fyp

sell || book 📚
sell || book 📚
Open In TikTok:
Region: ID
Tuesday 20 October 2026 14:50:28 GMT
94253
16964
23
928

Music

Download

Comments

hegki230
hegkii💥 :
seburuk apapun halaman sebelumnya,langkahmu tetap untuk masa depan ,tugas mu hanya satu,jadilah lebih baik bukan kembali seperti dulu.
2026-10-20 15:21:33
143
biasaajak12
bintang :
judul buku
2026-10-21 00:07:56
0
user1818234567
⠀ ⠀ ⠀ ⠀ ⠀ :
after 3 thn asing kupikir kamu udah berubah jadi yg lebih baik lagi tapi ternyata sama saja
2026-10-21 12:38:17
11
jiuvro
vro :
C=cinta tidak bisa di kejar jika seseorang tersebut tak mau mengejar cintamu juga
2026-10-21 12:08:44
5
cocomelons.1
mifzz :
hhh
2026-10-24 06:39:25
0
abcdefghizkl2
slpi_04 :
2026-10-22 13:59:07
0
bluerose910_
blueerose :
buat aku yg perasa butuh waktu entah sampai kapan
2026-10-23 16:28:08
1
syaisya23
S :
okey
2026-10-22 04:27:27
0
alfarizqy_96
alfarizqy26 :
yang just friend berdamai dengan orang yang dia suka tapi dianya gak suka
2026-10-21 12:27:05
0
nata__694
Shiro Tempest :
Temui aku disetiap lagu ini📵🎄
2026-10-21 22:53:10
0
agussian419
aku juga yahhh :
gimana cara Damai yang dia maksud, akuh juga pengen
2026-10-21 12:46:48
0
donvtchocolate
m♎️ :
@andiniii
2026-10-22 16:12:22
0
auradestiaputri
🦭 :
@tirzaauri
2026-10-22 07:45:29
0
user000621111
raraaaaa :
@aafnii @ngi
2026-10-22 13:20:29
0
To see more videos from user @itssel.na, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Kuna Hadith kwamba siku Moja mtume Muhammad s.a.w alitokea nje ya nyumba yake Kisha akaona angani kiumbe kikubwa sana. Mtume Muhammad s.a.w aliogopa sana kwasababu alimuona Jibril kwenye Hali yake halisi. Mtume Muhammad alisema;
Kuna Hadith kwamba siku Moja mtume Muhammad s.a.w alitokea nje ya nyumba yake Kisha akaona angani kiumbe kikubwa sana. Mtume Muhammad s.a.w aliogopa sana kwasababu alimuona Jibril kwenye Hali yake halisi. Mtume Muhammad alisema; "nilitazama mbele yangu kwenye upeo wa macho Kisha sikupata kuona kingine chochote isipokuwa Jibril (yaani alijaa katika upeo wote wa macho). (Muslim) Kisha nikatazama kwenye upeo wa macho wa kulia Kisha sikuona chochote zaidi ya Jibril. Kisha akatazama upande wa kushoto hakuna kitu kwenye macho zaidi ya Jibril alikuwa mkubwa kuliko ardhi yenyewe na alifunga saizi zote za upeo wa macho. katika baadhi ya Hadith mtume Muhammad s.a.w amesema jasho la Jibril ni almasi na vito. Jibril a.s ana mbawa 600, Jibril a.s Yu hai mpaka siku Moja kabla ya qiyamah Kisha atakufa kama viumbe vyote na atapiga ukelele kwa sauti isiyo na kifani wakati anakufa ikiwa wanadamu wote wataisikia sauti yake watakufa wote lakini ikiwa walishakufa kabla. Ndio Kuna baadhi ya Hadith huzungumzia ukubwa wa malaika Hadith Moja ilisema kuwa Kuna malaika sio malaika wote kwa hivyo Kuna malaika wakubwa. mmoja wao umbali kati ya sikio lake na bega lake ni sawa na miaka 500 kutembea na Kuna malaika ambaye miguu yake ni ardhi ya Saba (7) na shingo yake imeinamishwa chini ya kiti cha enzi cha Allah S.W.T na malaika huyo huwa anafanya tasbihah na dhikr kwa mola wake mlezi (Abu Dawud) kwa hivyo mwishowe, kuna ukubwa mkubwa wa malaika na kuna Hadith nyingi juu yao. acha nikuambie jambo moja zaidi; kulikuwa na vijiji vya sodoma na gomora kipindi cha nabii Ibrahim Mwenyezi Mungu S.W.T alimtuma Jibril a.s kuviharibu cha kuvibomoa vijiji hivyo viwili Jibril a.s alivibeba vijiji viwili pamoja na nyumba zake, wanadamu, wanyama, miti, maji na kila kitu kwa bawa moja na kuvinyanyua juu sana akavipindua ardhi ikawa juu chini ikafunikwa. Hakika Mwenyezi Mungu mtukufu ni mkubwa kuliko upeo wa fikra ya mwanadamu. Basi tusisite kumpa matatizo yetu atufanyie wepesi Inshallah na wala tusimkosee na kama tumekosea basi atusamehe madhambi yetu yote. Amen 🙌🏾 Search: tumswalie mtume Muhammad s a w or...

About