@charlineprophete: Keep your fridge tidy and easy to navigate with this 6 piece stackable storage container set. Made from durable acrylic and plastic, these containers work well for storing fruit, drink cups, and other food items in your refrigerator. They are a practical addition to any kitchen or home storage setup. Tap to shop and get yours for your next organization refresh. Product details and performance may vary. Check the current product page. #kitchenessential #fridgestorage #TikTokShopBlackFriday #TikTokShopCyberMonday #Moras

charlineprophete
charlineprophete
Open In TikTok:
Region: US
Tuesday 20 October 2026 12:24:33 GMT
38
1
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @charlineprophete, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Kuweka malengo kwa kuyaandika Kunaweza kubadilisha maisha yako! Amua unataka nini, kisha kiandike.  Zoezi la kuandika malengo yako lina nguvu kubwa sana kuliko unavyofikiri.  Narudia tena.... Amua unataka nini na uandike kwenye karatasi. Yatoe mambo kichwani yaweke chini kwenye karatasi ili uyaone vizuri. Tengeneza orodha ya mambo unayotaka kufanikisha katika maisha yako. Unataka kwenda wapi? Unataka kufanya nini? Unataka kuona nini? Unataka kuwa mtu wa aina gani? Unataka kuwa na nini? Unataka kushirikiana na wengine katika mambo gani? Ungependa kusaidia au kufadhili miradi gani? Ungependa watu wakukumbuke kwa jambo gani? Ni ujuzi gani ungependa kujifunza? Ni mambo gani ya kipekee ambayo ungependa kufanya katika maisha yako? Ni mambo gani ya kawaida ambayo ungependa kufanya? Na hata kama ni mambo madogo, ambayo wengine wanaweza kuyaona kuwa ya kipuuzi, lakini wewe ungependa kuyafanya? andika yote Vilevile, ni mambo gani muhimu sana ambayo unatamani kuyatimiza?  Amua kuhusu mambo hayo yote unayoyataka, kisha yaandike.  Kasome Habakuki 2:2-3  Usiandike malengo yako kisha uyaache tu bila kuwa unayaangalia mara kwa mara. Yaweke mahali ambapo unaweza kuyasoma na kuyafanyia tathmini mara kwa mara.  Kwa kufanya hivyo, orodha yako itakuwa kumbukumbu ya safari yako ya maisha, ikikuonyesha ulipoanzia, umbali uliotoka na jinsi unavyoendelea kukua na kubadilika. Kadiri unavyojifunza na kukua, ndivyo mtazamo wako kuhusu maisha unavyoweza kupanuka.  Unaweza kuanza kuona fursa ambazo hapo awali hukuziona, kutambua mambo ambayo hukuyapa umuhimu, na kugundua mambo mapya unayotamani kuyafanikisha. Hiyo ndiyo nguvu ya kuweka malengo. Malengo  yanakusaidia kutambua unachotaka, kufuatilia ukuaji wako na kuendelea kujenga maisha yenye mwelekeo. Nimeandika ebook za kutosha kuhusu uwekaji wa maelngo, unaweza kutumia namba hizi kuwasiliana 0759 551 270  N asiku zote kumbuka Lolote lile utakalo liamini basi lLINAWEZEKANA kama tu Utaamua kuchukua HATUA. INAWEZEKANA!

About