@thechanzo: Mikoa 10 tajiri Tanzania

The Chanzo
The Chanzo
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 18:14:00 GMT
32143
1270
151
121

Music

Download

Comments

abdy_salumu
𝐓𝐱_𝐨𝐩🦺 :
KATAVI jamani,, why always us???
2026-10-20 21:19:36
1
vailetkishe
vacaxious :
why can't they clear national dept
2026-10-21 11:24:39
0
petroemanuel4
Teroh mshuer :
alaf patonla taifa n trion 93 hahahah nachoka
2026-10-21 08:58:49
0
oj1010
O J :
Where The Zanzibar????
2026-10-21 05:39:18
0
cavinga_
Timothy :
songwe haipo top ten why why
2026-10-20 19:09:44
0
mugisha_sr
Movies GEEKS :
Tanga tumedanganyana..............
2026-10-21 04:05:24
8
david.myalle
David Myalle :
kwahyo Dodoma hamna ?
2026-10-21 03:37:49
3
tatizo_point_zimebakia_9
Ally Hamad Mohamed Taita :
Mwanza Home sweet Home
2026-10-21 04:28:58
0
sautiyajogoo
STRAIGHT OUTTA MAFINGA :
Iringa haipo ata namba 10 I wonder na wilaya yake mufindi inaongoza kwa mapato kitaifa kila mwaka
2026-10-21 17:28:18
1
itachamotors
ITACHA MOTORS :
wamedanganya sana BOT mkoa wa njombe ulipaswa kuwa kwenye list ya mikoa kumi yenye utajiri mkubwa tanzania
2026-10-21 05:32:24
1
kulwabenjamin546
horney badger :
naambiwàga tu morogoro Kuna hela sana, lakini vyanzo vyake Bado sijajua znapotoka, au tunatakatisha fweza, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-21 10:38:58
1
buhele
Frank Peter6163 :
mmmh Simiyu izidiwe na Lindi na Mtwara?
2026-10-21 18:12:35
0
pastry450
Pastry450 :
Shinyanga je?
2026-10-21 08:29:47
2
salehawadhbader
Saleh Awadh Abu Yasser :
vipi Iringa mafinga ipo mkoa gani
2026-10-21 06:29:58
0
joshuamziba
Man 2 man :
Yan Dodoma haipo
2026-10-21 05:58:50
0
user11883325303684
~TWO BROTHERS ~ :
sasa izo ela zote si walipe deni la Taifa ama 🤨
2026-10-21 19:17:56
1
ogistesimon
bulomagi bharakubha :
tuletee na makabila tajiri kwa mjibu wa B.O.T au yenye walipa Kodi wengi secta binafsi.
2026-10-21 15:06:21
0
shutterspe
SHUTTER SPEED :
DENI LA TAIFA LINALIPWA VIPI SASA
2026-10-21 10:19:23
1
million.dollar39
Million Dollar :
Naona wameangalia sana Kilimo madini na biashara
2026-10-21 11:52:32
1
kaliuaplustz
Kaliua Plus Tz :
Hatimae TABORA kwenye Utajiri
2026-10-21 07:19:56
1
oedy191
oedy :
mbna wahaya siwaoni
2026-10-21 08:47:55
1
happymkm4ee
princess :
Ni createria Gani iliyotumika?
2026-10-21 04:59:09
1
brayson.bilauri
BRAYSON BILAURI :
yaani hapo tuseme Dodoma haieleweki kama ni mkoa maskini au tajiri
2026-10-21 09:41:18
1
madarakamabehe383
mkushi no 3 :
geita hauwezi kua namba 7 rudieni Tena kufanya utafuti
2026-10-21 05:59:44
1
jack.ma6983
Jack Ma :
mtuambie kwanni Dar ishike namba Moja Kwa sababu zipi ???
2026-10-20 20:53:28
2
To see more videos from user @thechanzo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About