LAKINI ilikua ni haki yetu kumsupport mtanzania mwenzetu
2026-10-20 21:51:50
50
Said 0mary :
Yani hapa hufungwi mtu nawala hanyongwi mtu
2026-10-21 07:51:32
33
Ruben E Laizer :
hata matamshi yako yanadhiirisha ni kwa kiasi gan haushimu serkali
2026-10-20 21:58:56
7
Kaju Shekigenda :
daah hatukubaliani nao kabisa tupo na lisu pamoja
2026-10-20 20:57:43
37
Mimi :
Eheee Mungu wangu Tafadhari fanya kitu juu ya hiki
2026-10-20 22:09:30
7
Tarange -shoes-glama :
Kwani watanzania ni wakina nani hao
2026-10-20 21:28:04
9
Paul Salawa :
dada Yuko mbele ya mda sana
2026-11-02 12:35:14
4
Said Umeme :
hiii video inanipa hasira %2000000000000!
siwapendo wooooote hadi mimi sijipendi saivi
2026-10-20 20:09:26
31
eddy one :
hili likitimia Yale ya lema ni Kweli kabisa
2026-11-02 09:05:46
4
Jesus is best answer. :
Mungu alie msimamia DAUDI , ndie Mungu atakaye simamia Tundulisu,
2026-10-21 15:34:17
8
Kazimoto official⚽ :
watanzania gan....
2026-10-20 22:25:01
3
Last born💕 :
Waebrania 10:38. Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani; Naye akisita-sita, roho yangu haina furaha naye".Tuna Mungu tunayemuamini hata kwenye hili atatutetea na tutavuka salama🙏
2026-11-02 08:26:30
3
flowerbeut girl🥰🥰 :
video ya huzuni kweli kweli eeh,
😭😭 mange umeniliza kuhusu Lisu
Embu tuambie cha kufanya maana huku tulipo hatujuagi cha kufanya tupe muongozo kabla dakika hazijatutupa mkono😭
2026-10-21 14:02:37
0
Lissa❤ :
dah ivi hii Tanzania tunaenda wapi jamani mi nashidwa.....hakuna amani tena Free Tundu Lissu
2026-10-20 21:17:07
4
Bliss Pink :
Inaumiza ila Kila kitu kina mwanzo na mwisho
2026-10-20 21:29:14
4
Tonny4real :
nchi itachafuka hii zaid ya 29/10/2025
2026-10-26 21:18:11
4
ONE KISS TV :
Dunia haina fair kwa yoyote aliekuwa weak sio Tanzania tu hata nnchi kubwa mfano USA so make sure unastay strong na usikanyage ugali wa mwenzio
2026-10-20 21:22:47
7
lion japhet :
mungu yupo na nina uwakika kila mtu atalipa deni lake
2026-10-24 06:16:40
2
koi :
free lissu.hvo tu.tunajali sanaa tena sanaa
2026-10-21 04:41:44
3
Gilbert Ernest Lyaruu. :
People Power Free Tundu Lissu.
2026-11-01 17:59:49
3
Arqam Ally :
nimefurahi
2026-10-23 11:09:28
2
Damas ku nu gu la :
Mungu nimkubwa hawatoweza haki itapatkana
2026-10-20 21:37:43
3
monica :
hawezi kufungwa hata kidogo
2026-10-21 15:48:46
2
To see more videos from user @tescoltz, please go to the Tikwm
homepage.