@violaadumpp: Manaa senyumnyaa

lalaa
lalaa
Open In TikTok:
Region: ID
Thursday 22 October 2026 11:24:26 GMT
9138
3068
28
410

Music

Download

Comments

leyomoor
leyomoor :
pioooooo livee ayo
2026-10-22 17:44:18
1
radttt.jp
Radittt :
first
2026-10-22 11:26:34
3
alfadisiniiii
454.jpeg :
kakak nya dewan ya??
2026-10-22 11:27:13
2
gotoberk
Go to psiikiater :
ini ce
2026-10-22 12:50:25
1
s1jnowc
Sonlytics° :
halowwww ceee , gimanaa harinyaa
2026-10-22 11:31:20
1
fasz08_
Fasz still hoping👾 :
mana senyum nyaa
2026-10-22 11:27:56
1
mr.alif4178haikal
Mr.Alif_Haikal :
cantik
2026-10-22 12:29:23
1
kelazz279
pulu pulu :
pertama
2026-10-22 11:27:11
1
spesialisayamfillet
Hi :
hai salken kak
2026-10-22 11:56:00
1
mumukonten
KataMumu :
hadir cii vioo,when ya cii vlog pake batik
2026-10-22 11:46:09
1
ginangae
ginang :
2026-10-22 15:46:18
1
saya_human5
Abel {} :
2026-10-22 12:55:17
1
thomasshen30
_Flu2FyPaUKC_ :
2026-10-22 11:41:03
1
dedew6086
Devanuell :
cuma mau bilang, kacamata itu buat orang yang minus, bukan buat orang yang manis kaya piooo😛😛
2026-10-22 13:29:11
1
kiko3947
kiko :
2026-10-22 11:29:42
1
_hniv16
HN∀VIA¹⁶ :
2026-10-22 12:42:39
1
yofiww
☃️† :
2026-10-22 11:34:55
1
maybehuman41
Someone you love :
2026-10-22 11:35:17
1
rzv.01
mugen :
2026-10-22 11:43:12
1
shadow.monarcj
Shadow Monarcj :
2026-10-22 11:39:11
1
cangkulcangkul1
saput :
2026-10-22 14:52:46
1
abayy_922007
baY :
2026-10-22 21:45:27
1
jepprikk_
Jepp :
2026-10-22 11:38:26
1
aelah_
aelah_ :
ini senyumnyaa
2026-10-22 11:57:39
1
pandda752
PanDa :
❤️❤️❤️
2026-10-22 12:22:48
1
To see more videos from user @violaadumpp, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

*MAISHA YA WATAKATIFU*   *MT. YOHANE WA KAPISTRANO,* PADRE MFRANSISKO      ( 23 OKTOBA ) Yohane alizaliwa Kapistrano (Italia) mwaka 1386. Alijifunza sheria huko Perugia, na kwa muda, alikuwa hakimu na pia aliwahi kuwa gavana wa Perugia. Huko aliyatekeleza mambo yote kwa hekima na uadilifu. Watu walimsifu sana. Miaka minne tu baada ya kufunga ndoa, yeye na mke wake walikubaliana kutengana. Yohane aliona kuwa anasa za dunia na furaha zake si kitu, akavutwa kujiunga na utawa wa Mt. Fransisko. Kifungo cha ndoa kilipokatwa kwa ruhusa rasmi, akakubaliwa kuingia utawani, na mwaka 1420, akapadirishwa. Utawani alionesha mfano wa kila fadhila, akisema daima:
*MAISHA YA WATAKATIFU* *MT. YOHANE WA KAPISTRANO,* PADRE MFRANSISKO ( 23 OKTOBA ) Yohane alizaliwa Kapistrano (Italia) mwaka 1386. Alijifunza sheria huko Perugia, na kwa muda, alikuwa hakimu na pia aliwahi kuwa gavana wa Perugia. Huko aliyatekeleza mambo yote kwa hekima na uadilifu. Watu walimsifu sana. Miaka minne tu baada ya kufunga ndoa, yeye na mke wake walikubaliana kutengana. Yohane aliona kuwa anasa za dunia na furaha zake si kitu, akavutwa kujiunga na utawa wa Mt. Fransisko. Kifungo cha ndoa kilipokatwa kwa ruhusa rasmi, akakubaliwa kuingia utawani, na mwaka 1420, akapadirishwa. Utawani alionesha mfano wa kila fadhila, akisema daima: "Nimepata jina hili la Yohane ili nipate kuwa mfuasi mwaminifu wa Kristo na mtoto mpendwa wa Bikira Maria". Akaendelea katika kujikamilisha kiroho. Alijifunza sana Teolojia, akamchukua Mt. Bernardino wa Siena kama mwalimu wake mkuu. Alikuwa mhubiri hodari sana, alitembea mahali pengi, akifundisha na kuwaongoza watu. Alihubiri katika nchi ya Italia, Ufaransa, Ujerumani, Austria, Hungaria na Poland. Alijishughulisha pia katika harakati za kuleta mapinduzi katika Shirika la Mtakatifu Fransisko, kwani maisha yao ya kiroho yalikuwa yametetereka. Vile vile alipewa jukumu la kuwaimarisha Wakristo katika imani Katoliki, na kuwapinga wazushi wa siku zile. Baadaye, katika mwaka 1455, Waturuki Waislamu waliwashambulia Wakristo. Padre Yohane alihubiri vita vya msalaba dhidi yao, kwa ajili ya kuwaokoa Wakristo. Juhudi zake huko Bavaria (Ujerumani) na katika Austria mwaka 1456 hazikufaulu sana. Punde Waturuki wakaingia hata Belgrado (Yugoslavia). Padre Yohane alikazana zaidi kuhubiri ili Wakristo waunde jeshi, na kupigana dhidi ya hao Waturuki. Mwisho alikwenda vitani mwenyewe, akimfuata jemedari Hunyadi wa Hungaria, kusudi kuwatia moyo askari Wakristo katika mapigano. Basi, Wakristo waliuokoa mji wa Belgrado, na kisha wakawashinda Waturuki. Hivyo Ulaya ya Magharibi iliokolewa siku hizo. Baada ya vita, ulizuka ugonjwa kutokana na maiti nyingi zilizokuwa zimeachwa mijini bila kuzikwa. Padre Yohane alishikwa na ugonjwa huo, akafa tarehe 23 Oktoba mwaka 1456. Alitajwa kuwa Mtakatifu mwaka 1724. *MT. YOHANE WA KAPISTRANO, UTUOMBEE* *MASOMO YA MISA* I. Rum. 6:12-18 Zab. 124 INJILI: Lk. 12:39-48

About