@king__mitchy:

King mitchy 🤍🎁👊🏻
King mitchy 🤍🎁👊🏻
Open In TikTok:
Region: NG
Thursday 22 October 2026 11:48:41 GMT
5780
628
0
7

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @king__mitchy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

1. UKIOTA NDOTO UPO SHULE UNALIA  maana yake umefungwa kiroho, roho inakurudisha nyuma, maisha yako hayasongi mbele, unabaki pale pale. 2. UKIOTA UPO SHULE LAKINI UMEFELI MTIHANI  maana yake kila unachokifanya kinafeli, biashara inafeli, ndoa inafeli, ni kifungo cha kutofanikiwa mwisho wa safari. 3. UKIOTA UPO SHULE LAKINI UNAGOMBANA NA WENZAKO  maana yake kuna watu wa karibu wanakufanyia husda, wanakusema vibaya, wanakuzuia usifanikiwe, ni vita ya kiroho. 4. UKIOTA UPO SHULE YA MSINGI NA WAKATI UKISHA MALIZA MUDA MREFU UPO CHUO  maana yake umefungwa kichawi, usipo kua makini unarudi nyuma kiuchumi, pesa inakataa, unarudi utotoni kiroho. *5. UKIOTA UPO SHULE MWALIMU ANAKUCHAPA  maana yake unapitia adhabu ya kiroho, kuna dhambi au laana ya zamani inakufuata, unahitaji toba na dua ya nguvu. 6. UKIOTA UPO SHULE UMEFAULU  maana yake umevunja vifungo, mungu amekupandisha daraja, baraka inakuja, utapata cheo na mafanikio makubwa. 7. UKIOTA UPO SHULE UMECHELEWA DARASANI  maana yake fursa zako zinacheleweshwa, ndoa inachelewa, kazi inachelewa, baraka inakuja kwa kuchelewa. 8. UKIOTA UPO SHULE HUNA SARE  maana yake umepoteza heshima, watu hawakuheshimu tena, siri yako inaweza kufichuka. 9. UKIOTA UPO SHULE YA USIKU GIZA TOTORO  maana yake ni mkutano wa giza, umeitwa kwenye vikao vya wachawi, jilinde kwa kisomo na dua kali usiku. 10. UKIOTA UPO SHULE UNAFUKUZWA  maana yake laana ya kufukuzwa kwenye mafanikio, kila fursa unayopata unafukuzwa ghafla. 11. UKIOTA UPO SHULE UNAANDIKA UBAONI maana yake mungu anakuandikia hatima mpya, jina lako linaandikwa upya kwenye kitabu cha baraka. 12. UKIOTA UPO SHULE MWALIMU ANAKUPONGEZA  maana yake mungu anakuinua, utapata cheo kazini na heshima kubwa mbele za watu. 13. UKIOTA UPO SHULE DARASA LIKO TUPU maana yake unajihisi mpweke, hakuna wa kukusaidia, unahitaji mungu zaidi kuliko watu. 14. UKIOTA UPO SHULE YA ZAMANI NA RAFIKI WA ZAMANI  maana yake mtu wa zamani atarudi na ujumbe, kuna kitu cha nyuma bado hakijaisha. 15. UKIOTA UPO SHULE HAUJUI JIBU LA MTIHANI  maana yake umechanganyikiwa maishani, hujui uamuzi gani ufanye, unahitaji hekima ya mungu. 16. UKIOTA UPO SHULE UNALIA  maana yake moyo wako umejaa mzigo, kuna huzuni ya ndani unayobeba, mungu anataka akufariji. 17. UKIOTA UPO SHULE INABOMOKA  maana yake msingi wa maisha yako unabomolewa kichawi, ndoa inabomoka, kazi inabomoka. 18. UKIOTA UPO SHULE UNAPEWA CHETI  maana yake ushindi mkubwa, umehitimu kiroho, sasa utapokea baraka zako zote. 19. UKIOTA UPO SHULE HUPATI KITI CHA KUKAA  maana yake nafasi yako imechukuliwa na mtu mwingine, kuna mtu anakalia baraka zako. 20. UKIOTA UPO SHULE UMEKAA MBELE YA DARASA  maana yake umeteuliwa kuwa kiongozi, mungu amekupa nafasi ya kuwa mbele, usiogope. Tafsiri za ndoto zako ushauri na maombi utabiri wa maisha yako ,Gharama ni  TSh 10,000  *Wasiliana nami moja kwa moja:* 📞 *WhatsApp / Call: +255 782 181 930* 👩‍⚕️ Doctor Latiffa *NIFOLLOW UENDELEE KUJIFUNZA KILA SIKU 🙏* #TafsiriZaNdoto #NdotoZaShule #DoctorLatiffa #MaishaYaKiroho

About