@nguynhoaithuong3: #CapCut Nếu như gia đình anh có thêm em thì sẽ như nào nhỉ ?? #xhtiktok #fypage #cogiaomamnon

Thương 👩‍🏫♥️🫶
Thương 👩‍🏫♥️🫶
Open In TikTok:
Region: VN
Saturday 24 October 2026 15:00:04 GMT
6655
582
20
6

Music

Download

Comments

thanhtuan937
🦀**Kubin**🦀 :
Ấm no cả đời 😁
2026-10-27 03:01:56
0
user927304918
Tuan Nguyen :
a lên bản cỏng e mà ko thấy e đâu
2026-10-24 15:07:19
0
duonghuy8
Duong 36 :
2026-10-25 14:17:20
0
seetheflowerdoorbuddha
anh nhừơng :
dễ thương qúa [Ấm lòng][Ấm lòng][Ấm lòng]
2026-10-24 23:39:50
0
ngovanhoang8
Ngô Văn Hoàng :
có thêm em thì thêm vui
2026-10-24 15:43:35
0
nguyen.van.nguyen21
Nguyên :
xinh gái
2026-10-24 15:29:38
0
bun.ca.anh689
🥰 Độc -Thân❣️20) :
🌹🥰
2026-10-25 00:44:42
0
khuedaominh5
Khuedaominh :
Dễ thương🥰🥰🥰🥰🥰
2026-10-24 15:15:22
0
vt.xc648
điện lạnh bình dương :
càng vui
2026-10-24 16:27:30
0
truongnguyenvan676
💌Trường☘️ :
2026-10-25 06:02:09
0
trn.trung598856
tran trung2003 :
2026-10-25 02:32:02
0
fuhou9738
Cuộc đời thường 👉 :
Thì con anh đi học có mẹ nó dạy rồi
2026-10-24 19:31:46
0
user6282581445724
giang bk@ :
thì tốn gạo tốn cơm tốn sức
2026-10-25 09:03:28
0
am.m.g752
Đam Mê Đồ Gỗ :
💗💗💗
2026-10-25 14:09:14
0
vietgi7
Nguyễn Hữu Việt :
🥰🥰🥰
2026-10-25 02:45:47
0
ngovanduc0803
Ngô văn Đức 0803 :
😋😋😋
2026-10-25 00:57:58
0
0395416491ngan
Duy ngân :
🥰🥰🥰
2026-10-24 16:07:44
0
tcbobinh
Văn Bình 999 :
🥰
2026-10-26 16:04:03
0
doai2507
Quốc Đoài :
❤️❤️❤️
2026-10-24 15:13:46
0
haicaopk
Cao vĩnh phúc :
Bố mẹ em có con rể chưa vậy
2026-10-28 14:17:06
0
To see more videos from user @nguynhoaithuong3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

SIO TATIZO LA MAADILI. NI TATIZO LA SERIKALI KUPUUZA ELIMU.  Tuna tabia ya kutafuta kondoo wa kafara kila linapokuja suala la “maadili ya wanafunzi.” Tunalaumu wazazi, watoto wenyewe, walimu, jamii, mitandao, etc.  Ajabu ni kwamba mhusika Mkuu wa yote haya, ambaye ni SERIKALI, huwa hatumgusi kabisa. In fact, serikali ndio huwa mstari wa mbele kushift blame.  Uhalisia upo hivi: Serikali imegeuza shule kuwa vituo vya kutunzia vijana ili wasizurure mtaani badala ya sehemu ya kutoa elimu, matokeo yake ndio kama haya.  Shule hazina vitabu,  hazina walimu,  hazina vifaa vya michezo,  hakuna karakana,  hakuna maabara za kompyuta, hakuna maktaba,  Hakuna chochote cha maana kinachoweza kuwakeep hawa vijana busy dhidi ya matendo au tabia hatarishi.  Matokeo yake watoto wanalazimika kuziba ombwe kwa kufanya mengine, ikiwemo haya.  Sasa hapa kosa lao au serikali??  Kwenye nchi za wenzetu watoto wanakuwa busy muda wote.  Mchana wapo busy darasani; jioni wapo busy kwenye clubs na michezo.  Kipindi cha kiangazi wapo busy na michezo ya outdoor kama vile riadha, football, tennis, volleyball etc.  Winter wapo busy na indoor track, wrestling, swimming, basketball etc.  Wana ligi za hii michezo kila kukicha. Kila siku wapo busy na training; busy na maandalizi ya game.  Karibu kila Jumamosi wana game au meets; wanapambana kujiandaa.  Na bado unakuta yupo kwenye club ya mziki inayomtaka a-practice instrument, labda gitaa, violin, viola, kinanda, kinubi, etc., kwa lisaa limoja kila siku akijiandaa na concert.  Mtoto amekuwa kept busy kiasi kwamba anarudi nyumbani yupo hoi, hata muda wa kuhangaika na singeli hawana.  Sisi tumewanyima watoto wa watanzania mambo yote haya ya msingi kabisa katika makuzi yao.  Yani hata vitabu pekee tumeshindwa kuwawekea.  Kwa mfano, ukichanganya vitabu vyote vilivyopo kwenye shule za msingi Tanzania, kwa takwimu za 2026, jumla yake ni ndogo kuliko idadi ya wanafunzi.  Tuna vitabu 10,336,275 (masomo yote) wakati tuna wanafunzi 11,026,096.  Yani tulipaswa kuwa na zaidi ya copy milioni 100, lakini tuna copy milioni 10 tu.  Somo kama Stadi za Kazi lina vitabu laki tatu pekee vinavyohudumia wanafunzi milioni 11.  Somo pekee lenye vitabu vingi ni somo la lugha ya kiingereza lenye jumla ya vitabu milioni 2.  Yani kitabu kimoja kwa wanafunzi zaidi ya watano.  Hali ya walimu ndio mbaya kupindukia. Mkoa mzima wa Geita wenye wanafunzi 700,000+ una walimu elfu 8 tu.  Kwa tafsiri nyepesi, kila mwalimu mmoja wa somo pale Geita anafundisha wanafunzi zaidi ya 700.  Pale Kaliua, Tabora kuna shule inaitwa Zugimlole. Ina wanafunzi 1,600 wanaohudumiwa na walimu 13 pekee. How on earth? Sasa tunapotelekeza mamilioni ya watoto wa Tanzania katika mazingira kama haya, tena wakiwa kwenye critical age ya adolescence, tunategemea nini?🤔🤔🤔 Tunachokiona kwenye hii video ni matokeo ya systemic neglect; ni matokeo ya serikali kushindwa kutimiza wajibu wake.  Nimesoma mahala kuwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, @Dr_DGwajima , anawatafuta walimu na wazazi wa hawa watoto.  Daktari, hali itaendelea kuwa mbaya mpaka siku tutakapokubali kujiambia ukweli badala ya kupoteza muda kulaumu wahanga.  Haya ni matokeo ya mfumo kupuuza wajibu wake.  Onesmo Mushi

About