@neemalightmedia: jamaa alikua ana nondo balaa

NEEMA LIGHT MEDIA
NEEMA LIGHT MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 26 October 2026 18:11:20 GMT
13530
850
66
144

Music

Download

Comments

umsack
lolo Spare part 〽️〽️ :
kumbe ndomaana Pole pole aliamua kusema ukweli coz anamjua MUNGU vilivyo
2026-10-27 10:13:19
16
.emmanuel2575
Emmanuel :
Mtumishi wa cristo wata onja kidogo kisha yasu ana kuja ndo mana Yesu Ali sema katika Mathayo 24:13
2026-10-27 15:37:01
3
masaumsabi
MASAU MSABI :
tupo dakika za nyongeza yesu anarudi siku si nyingi
2026-10-28 04:02:12
5
user5043727962183
user5043727962183 :
hvi ni pole pole au
2026-10-27 17:58:22
2
mushi.mwasile
Mushi Mwasile :
ujumbe wamuhimu sana kwangu na kwa wengineo 🙏🙏 mwenyezi Mungu nipe hekima pia mimi nimkosefu sijakamilika. nisamee sana. pia nakuomba niondoree tamaa zakidunia
2026-10-27 22:16:12
3
use0615213288
Happy love 🥰🥰 :
MUNGU naomba Rehema zako mimi nimkosefu naomba Rehema zako 😭🙏
2026-10-29 12:18:19
0
rhodamundo123
Rhoda mundo :
kama Yuko salama bac Mungu akafanyike faraja kwake kwa namna yake Mungu mkuu 🙏
2026-10-27 10:54:24
2
ebeneza_01
@Ebby_tz🫢 :
HUU NI UKWELI KABISA, TAFADHALI WANAFAMU TUWE MACHO…. ATA KAMA HUAMINI NAOMBA UAMINI HII 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-27 09:59:21
3
user1019400715661
yaspi keijage :
leo ndo nimeamini, kumbe kitabu cha UFUNUO kimeandikwa, kila mtu anayemwani YESU kuwa ndiye BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKE mpaka kikombe akinywee kikombe cha kuonja mateso kidogo au sana.
2026-10-28 14:07:58
1
adammike007
Adam Mike 🇹🇿 :
Nabiii
2026-10-27 17:20:30
2
user6039769581033
Chacha 33 :
Ubalikiwe sana my brother is true the fact
2026-10-27 21:32:19
3
gsenso12
GCS :
ghadhabu ya Mungu ni siku ya hukumu, sio dhiki kuu. Na dhiki kuu itawakuta watakatifu duniani na wataipitia.
2026-10-27 16:47:18
6
frank42262
frank :
good
2026-10-27 21:31:12
1
kakafredy120
kaka fredy 120 :
amina
2026-10-28 09:57:58
1
calvin.emmanuel3
Calvin Emmanuel :
ameni
2026-10-28 17:04:16
1
jacotz6
jacobjosephkawuya :
daaa nmemkumbuka sana huyu mtumishii..kama amekufaaa daaaa
2026-10-27 16:22:39
3
gebrano6
Gebrano🇹🇿 :
kumbe alijitabiria🥰
2026-10-27 15:33:53
3
nikoambaeniko
niko ambae niko :
good
2026-10-27 17:43:02
2
namaniamaniamani
Namani amani Amani :
apaa mbona kwel. viongz
2026-10-27 12:22:59
2
nuru_kwa_ulimwengu
Kweli_itakuweka_huru :
yesu alisema mara baada ya dhiki ya siku zile jua litatiwa giza na mwezi hautatoa mwanga wake ndipo mwana waadamu ataonekana mawingu kwa maana hiyo dhiki inatangulia ujio wa yesu na katika dhiki ndiyo jaribu la mwisho ambapo duniani itawekwa sheria ya watu wote kuabudu jumapili badala ya jumamosi kama sabato ndipo watakaokataa watazuiwa kuuza au kununua
2026-10-27 13:21:13
3
danifordkizito
octavol :
amen
2026-10-27 09:25:14
3
user7612057691396
user7612057691396 :
mwasha bado upo
2026-10-27 11:42:52
2
user7491683460261
Dora masau :
tuna Muda mchache
2026-10-26 19:59:18
3
ngozikami
Kami :
HUU NI USHUHUDA TOSHA
2026-10-28 08:43:24
1
user7422052283874rashid
rashraider mjukuu wa kenya :
watu wameamka hatutaki hadithi tena
2026-10-28 03:04:20
1
To see more videos from user @neemalightmedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About