Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@onist.reception: Ai o afacere? Răspunde Onist. Scrie numele ei și vezi cum sună.
Onist AI
Open In TikTok:
Region: RO
Tuesday 27 October 2026 03:50:31 GMT
4135
6
0
1
Music
Download
No Watermark .mp4 (
0.48MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
0.32MB
)
Watermark .mp4 (
0.48MB
)
Music .mp3
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @onist.reception, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
طلب عميلتي الفن التراثي المعاصر🤍 #fypシ゚ #الفن_التراثي #اكسبلورexplore
মসজিদের ইমাম রাস্তায় এর থেকে দুঃখের বিষয় আর কি হতে পারে, স্ত্রী'র জন্য একজন স্বামী সত্যিই বড্ড অসহায়।😅💔
Vậy mà nhàn 🥰🫰🏻 #momchelin #growplusa2 #suaa2 #sponsoredbynutifood
Daily vlog sương sương của mẹ bỉm 🎀😙 và review nhẹ 1 chiếc sữa iu thích của con tuiii 🫰🏻✨🍼 #mevabe #momchelin #growplusa2 #suaa2 #sponsoredbynutifood
UMRI PEKEE HAUTOSHI KUWA MUME, NA UMRI MDOGO HAUMAANISHI KUTOKUWA NA MAJUKUMU! Kuna wanaume wenye umri mkubwa kuliko wake zao, lakini cha kushangaza, wake zao ndiyo wanaobeba majukumu mengi ya familia. Mwanaume anatoka kazini, anachangia kiasi kidogo cha fedha, lakini mke ndiye anayepaswa kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa: maji ya kuoga, maji ya kunywa, taka, usafiri na mahitaji mengine ya nyumbani. Sasa jiulize, kuna tofauti gani kati ya kijana anayeingia kwenye mahusiano akiwa na malengo ya kujenga maisha pamoja na mwenza wake, na mwanaume mzima anayejifanya amejipata kimaisha ilhali bado anahitaji kulelewa? Tatizo si umri, bali ni uwajibikaji na maandalizi ya kisaikolojia. Kuna vijana wanaingia kwenye mahusiano wakiwa tayari kujifunza, kujituma na kushirikiana na wenza wao. Lakini pia kuna wanaume wenye umri mkubwa ambao wanataka kuheshimiwa kama vichwa vya familia bila kutimiza wajibu unaoambatana na nafasi hiyo. Na je, mwanaume akifikia umri wa kustaafu au akipoteza uwezo wa kufanya kazi, je, ni sahihi kumdharau? Au mke anapaswa kuendelea kuwa naye na kumsaidia katika kipindi hicho cha maisha? TUJADILI KWA HESHIMA 👇 Je, ungechagua mwanaume mwenye umri mkubwa lakini asiye na uwajibikaji, au kijana mwenye malengo na anayejituma kujenga maisha pamoja nawe? Na kwa wanaume, je, kuwa kichwa cha familia kunamaanisha kuwa na umri mkubwa, au ni uwezo wa kuwajibika na kushirikiana na mwenza wako?
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy