mimi namaumivu yasio elezeka nikichofanyiwa tr29 na 31 bs tu mungu anajuwa yote hayo namwachia mungu.
2026-10-29 09:08:53
6
Enitha Kapesa :
wapumzike kwa amani
2026-10-29 09:49:13
2
McDenis :
naumia japo nafarijika
2026-10-29 10:30:12
3
PELINA DAUD MWAKALASYA :
hongera mlioshiriki ibsda hiyo
2026-10-29 09:56:34
3
rebee@@ :
natama watanzania tungekuwa na mfuko wa kuchangia kwa wale waliopata majanga October 29 maana Kuna nduzetu waliopoteza viungo vyao wengine watoto wao walikuwa tegemez na wengine wameachwa mayatima watoto wanateseka kwa nn tusingeunda mfuko wa jamii kwa ajili ya kuwasaidia kwa chochote walioathirika na hili janga ni maono yangu🙏🙏🙏
2026-10-29 10:14:28
2
rajabukhamisi :
Amin
2026-10-29 09:35:10
1
kap53 :
asante sana kanisa katoliki takatifu la mitume.
2026-10-29 10:38:56
1
To see more videos from user @jejeuk7, please go to the Tikwm
homepage.