da malkia naomba sufuria pic moja ya non stick eeh😅
2026-10-30 13:53:36
0
annastasia :
dada bado unanunuaga tu sufuria😥
2026-10-30 09:51:45
30
Loretha :
Chips mayai ya Da Edina🥰🥰
2026-10-30 08:37:48
0
iam_jolie :
Nipo kwenye diet da Malkia😢😢
2026-10-30 07:16:52
5
Martha Kaaya :
jamani nimepanda hizo sufuria,dada nishingapi.
2026-10-30 07:24:16
8
Joyfulbabe :
Iv catering upo based Arusha?
2026-10-30 09:55:42
0
Mayra :
nmezimependa san hizi sufuria shingap boss na tunazipata wap
2026-10-30 07:22:12
2
47R4§H :
uharibifu wa maziwa tu
2026-10-30 10:58:10
3
Linda theophil :
Mahi naomba unitumie sufuria used 🥰make Unazo za kutosha
2026-10-30 10:38:36
3
JustAngie Mb💜🫧 :
Me sijala kwanzia jana
2026-10-30 13:05:12
0
My girl❤️ :
Sufuria za zamani unapelekega wapvv
2026-10-30 14:45:15
0
Moreen :
Me maini hapan labuda nyama lost
2026-10-30 15:12:56
0
Aaliyah :
Dah kila nikitaka kufanya diet naona utamu😆😁😁🙌🏾
2026-10-30 14:58:37
0
Mama Nathan🥰🥰 :
Nimezipenda mno Ila huo uwezo ndo sina mungu wangu😔 dada malkia kama kuna sufuria ulizozichoka nisaidie Na me nije nizitumie😭
2026-10-30 07:28:51
3
saphy :
sufuria sasa wew
2026-10-30 14:30:45
0
I'm_maurineKim :
nails😋🤗👌🥰
2026-10-30 07:06:58
0
user4265312935694 :
sasa unaoloweka maziwani hafu unaosha maziwa si matumiz mabaya ya maziwa
2026-10-30 12:51:01
0
Da Mzuri 🧕😜 :
jamani malkia kwa vyombo tuu ...mi hadi nachoka ni vzr 10/10🥰🥰🥰🥰
2026-10-30 15:41:33
0
joycemakori74 :
kwa hizo sufuria hata mm ningetoka hy laki nne
2026-10-30 11:13:21
0
Veer diabetic :
umenitamanisha ila Sina source uwiii
2026-10-30 07:29:34
0
Faridah Omary :
nilijifanya kuroeka hayo maini na maziwa si nikajua unapika hivo sikuosha mbona nilimwaga maini robot 3 elfu 10 na Mia 5 sijawahi umia nilivyo umia nimekoma
2026-10-30 11:16:47
0
Mom micky macky & Malcom :
jaman msichanaa,,,,huna siku unasafisha kabati nitapanda gari hqd mwanza kukusaidia na kuzitoa kabatini kwako,,,,,,asanteee
2026-10-30 17:15:19
0
Nevia_sule :
shilingi ngapi sufuria
2026-10-30 11:18:47
0
Libe Mtalo :
jmn sh ngapi???
2026-10-30 17:26:40
0
Samantha Gael :
dada anza kugawa sufuria basi 😥
2026-10-30 12:48:28
0
To see more videos from user @malkiafoods, please go to the Tikwm
homepage.