@learnswahili01: Learn Swahili with Rehema Charles Conjunctions/Viunganishi Ni maneno yanayotumika kuunganisha MANENO ili kuleya mtiriko mzuri wa mawazo Kwa mfano -na -Kwa sababu -Ikiwa n.k #englishswahiliwords #daysoftheweekinswahili #swahilivocabulary #Englishswahiliwords #conjuction/vivumishi