Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@leyla.alizadeh0: #permisdeconduire #VoiceEffects #for #edit #goviral
Apprendre français avec Leyla
Open In TikTok:
Region: BE
Monday 02 November 2026 10:48:42 GMT
111
20
0
2
Music
Download
No Watermark .mp4 (
0.85MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
0.85MB
)
Watermark .mp4 (
0MB
)
Music .mp3
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @leyla.alizadeh0, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
DIZERA ALALAMIKA KUPIGWA NA BOSI WAKE ARUSHA Binti anayefahamika kwa jina la Dizera, mzaliwa wa Kakonko mkoani Kigoma, amelalamika kupigwa na mwajiri wake katika Mtaa wa Kijenge Kaskazini, Kata ya Kimandolu, jijini Arusha. Dizera, aliyeletwa Arusha mwezi Agosti kufanya kazi za nyumbani, amesema walikubaliana mshahara wa shilingi 70,000 kwa mwezi, lakini hadi sasa hajalipwa. Amesema mwajiri wake pamoja na binti yake walimpiga baada ya kutokea mvutano kuhusu kuondoka kwake nyumbani hapo, huku akieleza kuwa mtoto wake aliyebaki Kakonko alikuwa mgonjwa na amelazwa hospitalini. Kwa upande wake, mwajiri amekiri kumpiga Dizera, akidai kuwa alifanya hivyo baada ya binti huyo kumpiga mtoto anayemlea nyumbani hapo. Mwenyekiti wa Mtaa wa Kijenge Kaskazini amesema mwajiri huyo alikuwa akimpiga Dizera huku akiwa amefunga geti. Alipofika eneo hilo, alimwomba mwajiri afungue mlango, lakini alikataa na kusema atasubiri askari wake afike. Mwenyekiti huyo amesisitiza kuwa wafanyakazi wa ndani wana haki zao na hawapaswi kunyanyaswa na waajiri wao. Wakati huohuo, wananchi waliokuwa wamekasirishwa na tukio hilo walitaka kuvunja geti na kuingia ndani, hali iliyomfanya mwajiri kupiga simu polisi. Jeshi la Polisi lilifika eneo hilo na kuchukua jukumu la kushughulikia suala hilo.
Bạn có biết 90% ứng viên bỏ qua cơ hội đánh giá công ty khi đi phỏng vấn. Hãy nhớ hỏi 1 câu này để không chọn nhầm công ty nhé! #tuoitre #vieclam #congviec #phongvan #hrtips #dinhhuongnghenghiep #learnontiktok
A game show. A naive pig. One question: what is money… really? He called the wolf. The answer was so honest they cut the feed. Money isn't a reward. It's a leash. Go quiet. Watch learn like subscribe until you’re the wolf 🐺 #money #inflation #mindset #wakeup #psychology
Ying and yang #thorfinn #yingandyang #vinlandsaga #anime #xyzcba
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy