Mimi km mwalimu nasemaje Kila mtu abebe msalaba wake🤣
2026-11-06 02:37:33
39
🤍 :
kwangu remote haionekani kabisa nimeulizia adi Kwa majirani!
2026-11-05 18:22:05
29
Emeltha Vicent :
shule hazijafungw ila remote ndan sion wamebakiza betr t[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]naona hawamu hii wanamalzia tv[Tears of joy]
2026-11-06 05:41:29
1
Mom muuh🤗 :
nmecheka wallah[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-06 04:50:48
1
Mama D's :
enjoying 🤣🤣
2026-11-06 05:16:16
1
Xhebbinize Modric Tz :
ya kwangu labda waimalizie tuu 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-06 07:04:30
6
Miss Firdaus :
mm na nchi 85 yangu natamani nikodishe kwanza
2026-11-06 05:43:57
7
Tina :
mm hata nishasahau kama niliwahi kuwa na remote, king'amuzi chenyewe kimepasuka ukitaka kuwasha mpaka utumie kalamu kubinya, tv nayo hivyohivyo bila kuingiza kalamu huwashi😢
2026-11-06 08:56:11
3
magreth :
Wanangu niwadogo lakini hiezi kuta wanachezea vitu ndani wala kuharib wakikaa kuangalia katoon wanatulia kama watu wazima nawakichoka watakuambia mama zima tv tukacheze nje
2026-11-05 16:38:23
13
Alex Gwilla :
TV yangu ina Miaka Mi4 Remote nimeshanunua Remote 8✍️🤔
2026-11-06 04:14:50
2
chearming girl🇹🇿🇹🇿 :
nimewaambia majirad wakija mi sipo. coz waniangalizie mpak tar14 january ndy narud. jibu kama jirani yangu na watot wangu mkubwadar2 chekechea wapo2
2026-11-06 03:32:44
1
promise❤️❤️❤️ :
nkakwambiaa ndoo mtajuaa umuhim wa waalimuu na matrons na patrons 😅😅😅😅😅
2026-11-05 16:23:26
7
Alfa Makundi :
apo kaz ipo😂
2026-11-06 04:49:56
1
Jelcajohn :
kweli kabisaaa😂😂
2026-11-06 06:38:13
1
👨👩👦 :
huku tayariiii😄😄😄😄😄
2026-11-06 03:39:52
1
kayombo :
hahahahahah
2026-11-06 05:57:04
1
MASHINA :
hahah
2026-11-06 05:44:26
1
annamagembe991 :
😄😄😄😄,yaani acha tu
2026-11-05 21:52:57
1
Afua Lusigi :
Yangu imeshaharibika 😂😂😂
2026-11-06 04:45:17
1
Habil Khamis :
😂😂😂😂
2026-11-05 19:30:42
1
@itsanna💕 :
mmmm ni hatar twishen zifunguliwe nying maana shuhuri ipooo
2026-11-06 10:47:12
3
oresterkapinga :
ya kwangu nishafunga lababend Toka mwezi wa kumi baada tu ya mitihani ya darasa la nne Kuta zote za nyumba zimechorwa midoli
2026-11-05 21:59:08
1
Helena Ayoub :
hakika
2026-11-05 19:26:17
1
ashy Fidelis :
wakat mi kila weekend tuu nanunua betri
2026-11-06 06:16:49
2
lizzy :
mifuniko ya remote yote haifung miez 2 ntameza Panadol Kila day maana jion tukikutana mm ndo hakimu, mwanasheria,wakili,Mzee Wa Baraza kusulihisha kesi form one na day care stage 3😮💨 wakirusi shule lazima wapigane kwanza alafu ndo wasaidiane home work alafu ni girls
2026-11-06 06:36:30
4
To see more videos from user @lizzy.hasheem, please go to the Tikwm
homepage.