@sahibwazir65: زہ غنی پہ ھغہ وخت کی لیونے شم❤️‍🩹 چی آشنا کلہ آشنا سترگی نا آشنا کڑی🥀 🥀🥹🤎@💔 𝑰𝒕𝒙-𝒔𝒂𝒉𝒊𝒃💔 @✰ 𝕦𝕟𝕜𝕠𝕨𝕟 ✰

”💔𝑰𝒕𝒙-𝒔𝒂𝒉𝒊𝒃💔”
”💔𝑰𝒕𝒙-𝒔𝒂𝒉𝒊𝒃💔”
Open In TikTok:
Region: PK
Friday 06 November 2026 11:42:22 GMT
19285
3236
123
268

Music

Download

Comments

charse__janan__302
Charse__Janan__302 :
Jar Zergo ♥️✌️
2026-11-06 15:15:46
0
hassanafridi2695
Hassan Afridi :
سومرہ بےوسہ ورتہ گورم۔💔د پیسوں زور دی یار د بل غیگی تہ زینہ۔💔
2026-11-08 18:37:08
0
khankh123210
khan khan :
2026-11-06 13:09:09
0
ta.sa.po.kawe
🇲𝗨𝗝𝗧𝗔𝗕𝗔 🇹𝗬𝗣𝗜𝗦𝗧 :
2026-11-07 01:17:40
0
beparwa.yar0
BeParwa Yar :
2026-11-08 04:43:46
0
gultiaz.khan03
MAID GULL :
🥰🥰🥰
2026-11-10 02:28:37
0
ihsanafridi.313
👑IHSAN👑 :
🥰🥰🥰
2026-11-09 05:39:18
0
awaisktk074
🥷🫵🇪🇺awais ktk 🇪🇺🦅🔥 :
❤️❤️❤️
2026-11-10 00:12:59
0
malikzohaibkhan034
Malik zohaib khan :
❤️❤️❤️
2026-11-09 17:03:07
0
nasirboos17
🇧🇼𝐍𝐀𝐒𝐈𝐑 ☠️ یار باش 🇧🇼 :
❤️❤️❤️
2026-11-09 15:35:05
0
younaskhan12335
🥀🦂یونس الوازیری 🦂🥀 :
❤️❤️❤️
2026-11-09 15:09:21
0
nasre11223
𓆩بــد ✦ نــام𓆪 :
💞💞💞
2026-11-09 13:53:41
0
shahidulla706
🥀❌🥀Shahid gulli 🥀❌🥀 :
♥️♥️♥️
2026-11-09 11:29:18
0
sfayebyh.ahjeun
Asmat :
💔💔💔
2026-11-09 11:05:29
0
user4597041812602tiktok1
king sarkar :
[Innocent][Innocent][Innocent]
2026-11-09 09:17:02
0
sami.gull400
SAMI GULL :
🥰🥰🥰
2026-11-09 08:46:09
0
zarkalmwazir
zarkalamwazir :
♥️♥️♥️
2026-11-09 07:18:34
0
bilal.khan27776
Bilal khan :
🥰🥰🥰
2026-11-09 06:28:06
0
gultiaz.khan03
MAID GULL :
❤️❤️❤️
2026-11-10 02:28:35
0
khan_tanha_444
💔🌹ملگری زندہ باد🌹💔 :
👍👍👍
2026-11-09 04:12:35
0
khan_is_back64
★彡[Khan is back]彡★ 64 :
🥺🥺🥺
2026-11-09 03:06:36
0
noorsherafridi44
ᵛᵉᵉʳAFRIDI(804) :
❤️❤️❤️
2026-11-09 00:12:50
0
milaksameerjani1
✌.OUT KHUMAR.💪 :
[Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed]
2026-11-08 20:15:22
0
sahibking90
💔 𝑰𝒕𝒙-𝒔𝒂𝒉𝒊𝒃💔 :
😭😭😭
2026-11-06 11:49:25
0
To see more videos from user @sahibwazir65, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Bella Urassa, ambaye ni dada wa marehemu Jenifer (Jeni) Urassa amesema hawezi kusema uongo, ni kweli mdogo wake alimweleza siku chache kabla ya kuuawa kuwa alikuwa na hofu kuhusu usalama wa maisha yake, akihusisha hofu hiyo na mgogoro wa umiliki wa nyumba yao iliyopo Bunju, Dar es Salaam. Hii ni baada ya Jane kubadilisha umiliki (hati) ya nyumba na kusoma jina lake na jina la watoto wake kinyume na matakwa ya mumewe Laurent Kweka ambaye kimsingi ndiye mmiliki halali wa nyumba hiyo. Nisiwe muongo, ni kweli Jeni alinieleza kuwa ni kweli ameshughulikia hati na hati ya nyumba hiyo imetoka ikiwa na majina ya watoto wao wanne, na jina lake yeye akiwa msimamizi wao, jambo ambalo alidai lilipingwa na mume wake aliyekuwa akitaka hati hiyo iandikwe kwa majina ya wanandoa hao wawili.  Jeni kwa sababu zake binafsi hakutaka kabisa hati za umiliki wa mali ikiwemo nyumba hiyo yenye thamani ya inayopindukia milioni 350 viwe na jina la mumewe. Kwa mujibu wa Bella, baada ya hati hiyo kutoka, Jeni aliwahi kusema anaamini mume wake angeweza kumuua kutokana na kitendo alichofanya cha kubadili hati hiyo ya nyumba bila idhini ya mumewe  Aidha Jeni alienda mbali zaidi akachukua mkopo bila ridhaa ya mume wake ba bila kumjulisha. Hata hivyo Mkopo alishindwa kurejesha, na walivyo mtafuta mume wake aka wajibu yeye hana pesa  hivyo washughulike na aliyechukua mkopo. Jeni, mzaliwa wa Nkuu Sinde, Kata ya Machame Mashariki, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, aliuawa kwa kupigwa risasi na mume wake alfajiri ya Alhamisi, Oktoba Mosi, 2026, nyumbani kwao Bunju, baada ya kutokea kwa tafrani ndani ya chumba walichokuwa wakiishi. Akizungumzia mazishi, baba mdogo wa marehemu, Joseph Urassa, amesema familia ya kwao imeamua kumzika Jeni nyumbani kwao, kama alivyokuwa ameomba kuwa siku akifa asizikwe nyumbani kwa mume wake... Kwa upande wake, Mwenyekiti wa ukoo wa familia alikoolewa, Mchungaji Tumsifu Kweka, amesema familia yao haitalumbana na familia ya Urassa na itaheshimu taratibu zitakazokubalika kuhusu mahali marehemu atakapozikwa. NOTE: 1. Ni kweli 100% kuwa Jane alifanya hila na njama za kubadili umiliki wa mali ya mumewe kwa nia ovu ya kumdhulumu. Na hata Jane alijua si halali ndio maana alikuwa na hofu kuwa mwanaume asingechukulia poa huo upumbavu. 2. Ni kweli 100% kuwa familia ya Jane ilikuwa ina taarifa zote za nia ovu ya Jane ya kutaka kumdhulumu mwanaume mali zake ikiwemo nyumba lakini hawakumkemea wala kumshauri aache hiyo tamaa. 3. Ni kweli 100% kuwa Jane alishajipanga si tu kuachana na mumewe bali pia kumdhulumu mwanaume mali zake ikiwemo nyumba ndio maana alishawataarifu ndugu zake mapema kuwa hata akifa asiende kuzikwa nyumbani kwao mumewe. 4. Unawezaje kumtetea Jane kuwa hakupanga kumdhulumu mune wake mali na huenda hata alikuwa katika mipango ya kumuua mumewe ni vile tu amewahiwa. Kwa nini ahakikishe katika hati hiyo hakuna jina la mume wake? Si ni kwa sababu alijua mume wake atapoteza maisha siju za karibuni iwe kwa saratani au kuuawa? Mwenyekiti mnanipa wakati mgumu sana kuwatetea ninyi wanawake.  Punguzeni tamaa! Tamaa ikichukua mimba huzaa dhambi, nayo dhambi ikiishakukomaa huzaa mauti.  Si Jane tu alikuwa na tamaa bali hata ndugu zake walikuwa na tamaa ndio maana licha ya kuwa na taarifa za Jane kumdhulumu mume wake hawakumzuia wala kumshauri aachane na mpango huo hatari. Matokeo yake wamepokea maiti.#creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights

About