@montaletino.07: #creatorsearchinsights 😂 ✨nstnea feha hhh✨ #5rajt_exclu_fi_tuons #l9raya_fi_tuons🇹🇳

_bara_si_🫀🇹🇳
_bara_si_🫀🇹🇳
Open In TikTok:
Region: TN
Friday 06 November 2026 15:39:52 GMT
120573
12064
69
1738

Music

Download

Comments

gods_with_me_icantlose
影 BENKEI :
a7sn exlu t5dha f 7yetk bl a5s fl sbe7
2026-11-06 18:16:19
35
fatmahamzi
𝗙𝗮𝘁𝗺𝗮 🐆 :
fmtch alech tkrhouh l frc
2026-11-06 20:22:20
80
_mymaaaaa
🫶🏼 :
Maach tokhroj aych khouya sdkni lezmk tkrah❤️
2026-11-06 22:11:50
42
montaletino.07
_bara_si_🫀🇹🇳 :
ya jma3a mn kotret korhi ll français ktbthe (France) 😂🤦🏼
2026-11-07 05:35:20
12
trabelsi__mohammed
Trabelsi Mohammed :
Lee se3tin math
2026-11-07 18:11:14
1
9mar246
💘🌸 :
beyn mn fronce enti t7ebou barcha😂
2026-11-07 13:42:28
1
lilyane_alsayed
𖣂 :
w ma t9ayednichh🙂🙏🏻🙏🏻
2026-11-06 19:25:05
0
beki_802
୨ৎ 𝓑𝓪𝓵𝓴𝓲𝓼 ♕ ୨ৎ :
beb ble w sakerneh😂
2026-11-07 17:50:40
1
malekbenramadane
✨ Princess -d' amour✨💓 :
حتانا اليوم خرجت 🤣🤣🤣
2026-11-06 19:13:10
6
yan123is3
⚡ :
🥲
2026-11-07 18:28:50
0
kengi86
Abdoe :
sabeh sartli😂😂
2026-11-07 11:25:51
1
minilex____x7
𝖒𝖔𝖓𝖎𝖑𝖊𝖝____𝖝7 :
sa3tin math
2026-11-07 13:44:17
1
dibokhaled_
Yassine_khaled🇵🇸 :
Ongli ✅
2026-11-06 20:33:53
2
seqerrmortvvnj
,محمد! :
اليوم والله
2026-11-06 20:15:26
2
primer33d2
Y👑 :
nhar lethnin 3ndi 2 Français nchlh t5rjni
2026-11-06 21:28:56
1
alaa..loulou..alaa..loul
~ألاء~ :
exclu se3tyn 3arby
2026-11-06 21:34:40
1
iy_ed475
iy_ed_officielle 🫅 :
ana kifh 4haket bich 5arejni lprof
2026-11-06 20:51:52
1
chahadoud
💓💖chahd💞💓 :
😂😂😂
2026-11-06 19:01:53
0
safetymood
Layzø :
ena 5rjt m3ek
2026-11-07 11:47:07
0
amirranim167
amirranim167 🫰❤️🫶🇹🇳 :
2026-11-07 11:20:03
0
wissal.ben.amor
wissal ben amor :
2026-11-07 15:22:20
0
youssefloussaief27
yuti55o :
2026-11-07 17:55:15
0
lin10434
𝓛𝓮𝓮𝓷 𝓑𝓳 :
enaaa
2026-11-07 14:15:44
0
user1786366587921
chahd🤍 :
اهنا مستحيل تخرج
2026-11-07 17:27:22
0
sishzbs1
BR ZNT :
2026-11-06 19:15:00
0
To see more videos from user @montaletino.07, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

WERRASON ANAKUAMBIA HATOKI NA MWANAMUZIKI NYUMBANI Balozi wa Amani Le Roi De La Foret Noel Ngiama Makanda Werrason hivi karibuni alikua mji wa  Muanda huko Congo katika aonyesho lake la Tar 26 Sep 2026 Muanda ni mji uliopo pwani ya Bahari ya Atlantiki katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kwenye mdomo wa Mto Kongo eneo hili linapatikana katika Mkoa wa Kongo ya Kati Wakati wa Onyesho likiendelea  ambalo lilipokelewa na Umati mkubwa sana wa watu mashabiki kuna namna walikua wakipaza sauti kana kwamba wanataka kusema kitu Werrason alisimamisha Muziki na kuwauliza mnasemaje basi sauti za wengi zilimuelekeza Werrason kwamba Kuna kijana katika mji huo analijua vema Gitaa la solo Werrason husifika sana kupendwa na watu wa hali ya chini na vijana aliwasikiliza mashabik wake na kumuita kijana huyo Stejini Kijana alipanda na Werra aliwaomba wanamuziki wake na Kiongozi wa Band Papy Kakol wampe nafasi kijana huyo wasikie kipaji chake Kijana aliulizwa na Werra utupiga nini Kijana akasema yeye amkekulia katika upigaji gitaa na vitu anavyo vipenda ni muziki wake Werrason wa Wenge Musica Maison Mere hivo atapiga vitu vya Wenge kijana hakuishia hapo akashukuru kwa kupata nafasi kupanda jukwaa hilo na kukutana na mtu wa ndoto yake katika muziki wake Werrason akampa nafasi na kabla hajaanza kupiga Werra alisema Mimi huwa sitoki na mwanamuziki nyumbani au ndugu yangu bali mashabik ndio huwa wanachagua mwanamuziki wa kuungana nami hivo ukifanya  vibaya watakukataa  ukifanya vizuri watakupokea  Werrason huchukua vijana wa kuungana nao kwa kuwafanyia test mbele ya mashabik wake  wakikupitisha basi ndio unajiunga kundini Kijana huyo alilikung'uta gitaa kweli kweli na kupiga nyimbo nyingi za Wenge  kwa ufasaha  hasa sebene na Werrason na mashabiki wakakubali  Werrason akamuita kiongozi wa band Mpiga Drum Papy Kakol na kumuuliza unasemaje tuondoke na Dogo  Kakol akajibu kwamba  kijana nilikutana nae kabla ya onyesho na tulizungumza na  kijana huyo alimpigia gitaa Kakol na kufurahishwa nae na kumueleza wewe ni mpiga gita hodar jion njoo kwenye show ukipata nafasi uonyeshe uwezo wako Hivo kakol na Werra waliridhia kumchukua kijana huyo na Werra akamuambia kafunge Mizigo yako tunatondoka wote kuelekea Kinshasa hapo ndipo Werrason Kamfungulia Dunia kijana huyo ili awe anacho kitaka kama vile msemo wa Clouds unavo sema  Clouds ambao wana jukumu la Kumshusha Werrason Dar es Salaam Tanzania Pale Super Dome Masaki  Nov 6 2026  Dacota de lavida    10 Oct 2026

About