Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@chekhenehe_:
phuong tra
Open In TikTok:
Region: VN
Saturday 07 November 2026 15:14:38 GMT
99
33
0
1
Music
Download
No Watermark .mp4 (
7.3MB
)
Watermark .mp4 (
7.3MB
)
Music .mp3
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @chekhenehe_, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
#prepromo
VIDEO: Mwananchi mmoja aliyejitokeza mbele ya Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa kilio chake kuhusu kero za huduma za afya, ukosefu wa nidhamu kwa baadhi ya watumishi wa umma, pamoja na madhila mengine aliyoyapata katika maisha yake. Tukio hilo limetokea leo, Novemba 7, 2026, wakati Dkt. Mwigulu akizungumza na wananchi katika Viwanja vya Polisi Mwandoya, vilivyopo Jimbo la Kisesa, akiwa kwenye ziara ya kikazi mkoani Simiyu. Akieleza kero yake mbele ya Waziri Mkuu, mwananchi huyo amebainisha kuwa amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa henia kufuatia kupigwa, lakini alipokwenda hospitalini Bariadi kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji baada ya kupewa rufaa kutoka Mwandoya, alikutana na urasimu pamoja na usumbufu kutoka kwa daktari, hivyo kumuomba Waziri Mkuu kufikisha ujumbe kwa Rais ili kurejesha nidhamu miongoni mwa watumishi wa umma. Mwananchi huyo ameongeza kuwa alivamiwa dukani kwake na kukatwa panga kichwani, na baada ya kufanya jitihada binafsi za kumkamata mtuhumiwa, mtuhumiwa huyo aliachiwa kwa dhamana. “Baadaye mtuhumiwa akadhaminiwa akawa nje. Nilivyoenda kwa Mkuu wa Wilaya ananiuliza: 'dogo haujafa? Yaani kakesi kadogo unafuatilia?”, ameeleza mwananchi huyo. Waziri Mkuu amebainisha kuwa ingawa vyombo vya ulinzi na usalama vinafanya kazi nzuri na kulinda amani ya nchi, makosa ya mtu mmojammoja hayapaswi kuchukuliwa kama taswira ya taasisi nzima. Amemwagiza Mkuu wa Mkoa na Jeshi la Polisi kufanya ufuatiliaji wa kina wa tuhuma hizo ili kubaini ukweli wa shambulio hilo na hatua zilizochukuliwa dhidi ya mtuhumiwa aliyeachiwa.
I wasn’t expecting it to be this warm #pluginheater #heater #electricheater
#sadiesink
One Piece 1198 COLORED! #onepiece #luffy #imu #elbaph #loki
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy