mtumishi watu nikawaida yao ukofanya vizuri wanaongea ukifanya vibaya wanaongea
2026-11-09 05:51:46
62
@Nice outfits👕👗🛍👒👜 :
watu wake na nan
2026-11-08 09:48:41
36
Mishinda's Daughter :
God bless you my brother
keep going doing good
2026-11-11 14:40:58
0
Kirui Lynn💞💞🇰🇪 :
I thought he's your blood brother coz you guys look alike
2026-11-10 11:18:24
0
SIMBA SPORT CLUB FAN UPDATES🦁 :
wazoee wanadamu hawana jema
2026-11-10 12:30:49
0
Norah :
🤣🤣🤣🤣But Haries!you yourself! are you serious?
2026-11-11 09:33:58
0
Iam_siah_tz :
Kaka fanya kazi yako usiwaangalie waja hawakosi lakusema
2026-11-08 10:17:26
50
Mama Kido :
Fanya yako kaka binadamu ndivyo walivyo
2026-11-10 11:34:31
8
v money :
usijieleze sana kaka angu hao ndo wanadamu hawana jema
2026-11-08 10:50:27
35
charuiyot Dennis kibororindet :
do you work bro
2026-11-11 10:35:35
0
Sheyshey ngalimo :
Sikwer
2026-11-11 10:06:36
0
enoc.boshen :
side mungu atakulipa
2026-11-08 12:53:35
11
Colincase :
Komaa bro ndio ivyo ata kingamuz na rascal walichamba sana🔥🔥💪💪
2026-11-08 09:57:26
13
Jospina Philipo :
Mwanadamu huwa hakosi cha kusema, hâta utende wema kiasi gani, achana nao hao.
2026-11-08 11:47:15
5
DM :
eeeh Niko siriasi😂😂
2026-11-08 09:54:09
5
mama frank :
side sikufaham hunifaham binadam ndivyo tulivyo wewe achana nao Mimi nimekufutia sana Mungu atakulipa mwanangu
2026-11-08 10:03:25
6
Telesia Amon :
nAkupenda sana kaka
2026-11-08 10:27:23
6
itc.happy :
usijali maneno fuata akili yako
2026-11-08 10:25:29
5
IMASOV KARASOV :
broo wew ni mtu sana mwema pia unamoyo wa kipekee sawa kwa kitu ambacho umemtendea wailesi mwenyezi mungu akupe maisha marefu sana maan jambo la kumsaidia wailesi kaka, hao watu wanakuonea wivu sana pia watu wanaumia sana broo piga kazi midomo ni mali yao uwez kuazuia kuongea
2026-11-08 16:56:12
9
nono💖 :
side me sitaki bhnaa😂
2026-11-08 09:56:46
5
MAGDALENA... :
huwezi kuzuia wanaadamu wakisema
2026-11-08 15:05:59
3
user6612885782508 :
i like the way you are improving her life God bless you 🙏
2026-11-09 20:12:39
0
Queen 👸 :
nakupnda buree side
2026-11-10 08:10:41
1
Mpangwa Og :
Tunae mjua wailes wa kipindi hicho tunazidi kukuombea uendelee kumtunza
2026-11-11 12:32:01
2
Nehemia Kiroway :
man tenda mema achana na wanadamu
2026-11-08 09:59:18
4
To see more videos from user @siderwanda, please go to the Tikwm
homepage.