@mhandisi_nyingi: 😢😌Kweli Uchungu Wa Mwana aujua Mama....Mnamkumbuka Ally?

Mhandisi_Nyingi
Mhandisi_Nyingi
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 November 2026 16:36:17 GMT
39641
2137
186
81

Music

Download

Comments

samsoni002
king of humankind :
hakuna mtu anarudi makambako sio kwa ile baridi
2026-11-08 17:43:22
42
user290751750
MAMKACHU🌀 :
Me nalia nn sa
2026-11-08 17:33:20
36
glory.mwaipasi
Glory Mwaipasi :
uyo mtoto ajui nini maana ya maisha kuadhibu mtoto aimaanishi umpend shida tuna waazibu tukiwa na hasila ila mm siji pigia magoti akiichangua dunia bas nitamuomba mungu tu aniponye na kunipq amani ya moyo kiufupi mtoto ni jeuli amepebda kwanza ela mnao sema anaongea kwa uchungu amjui jeuli za watoto
2026-11-08 17:30:00
38
imma..76
Imma :
huyu mtoto ana mengi moyoni, nimeumia
2026-11-08 17:31:34
23
issambupu
ISSA MBUPU :
daaa dogo kachoka kupigwa
2026-11-08 16:54:44
39
nimahofficial22
nimahOfficial :
uyomtoto ukute alikua anasema anayopitia na hakuskilizwa ndomana mpaka ameamua kuondoka nikwamba hakuna mtu alijaribu kuwa upande wake wazazi tuangalie namna yakuazibu watoto jaman🥺
2026-11-08 17:41:59
25
aminamwaitulo
mama dingi 🥤💸🍹 :
duu shetani anachezea watoto jamani mungu ingilia kati huyo mama anateseka kimawazo
2026-11-08 16:46:02
28
user80808185506
FEY Nzwalila🌹❤️💋 :
mtoto kaongea kwauchungu moyo umeuma da
2026-11-08 17:18:12
45
masox207
𝗠𝗔𝗦𝗢𝗫🦺🇰🇪☆☆☆ :
msimamo sio kibuli 👊😭 sio Kwly mdgo wangu
2026-11-08 17:33:51
22
mama.watatu983
mama.watatu :
😂😂😂 haka nikajeuri jmn kwanza ni mkali mno alafu kwenye familia yenu kama hakuna mtoto kama huyu huwez elewa hii kitu
2026-11-08 17:53:47
9
mdigo25
MDIGO :
makambako sirudi mm nisha wambia
2026-11-08 17:02:30
6
mrsyoab
𝑰𝒕𝒔 𝒈𝒍𝒂𝒅𝒊𝒆🌸🦋 :
mtoto anaongea kwa uchungu saana daah😭
2026-11-08 16:58:00
8
nyammomo
NYAM-MOMO :
kumuadhibu mtoto akikosea ni sawa ila shida ni pale unapo changanya stress zako za maisha kwenye kosa la mtoto ,ukimpenda mtoto atakupenda.
2026-11-08 17:23:38
17
user16972261203716
zacha :
ira dogo yupo good
2026-11-08 18:20:50
0
rah.baby52
🌺𝑹𝒂𝒉𝒎𝒛🌸🌷💞💋 :
🥺fyoko.fyoko fyoko fyoko🥺🥺
2026-11-08 17:50:03
0
chimbunga2
chimbunga2 :
Big AP sana brother
2026-11-08 18:17:06
2
dj.chancemr45
CHANCE4️⃣5️⃣KIKOSI :
ana pambana sio
2026-11-08 18:14:57
1
tifashey77
Tifashey7 :
Ila imma🙌
2026-11-08 18:20:16
0
lady_zakat
ᥫ᭡ ᴢᴀᴋᴀᴛ ࿐♊ :
hadi machozi yamenitoka daah watoto wakimasikini tunahangaika sana😭😭
2026-11-08 17:32:05
11
dereva.wa.veta
DEREVA WA VETA :
moyo umeniuma sana huyo mtoto akija kuhuliwa kweli mtaanza kumpost r.i.p ila anaposema mateso aliyo yapitia mnaona kama ni akili za kitoto muacheni aishi maisha yake
2026-11-08 17:37:02
7
www.shani84
Shani iwvata :
Kunamuda wazazi wazazi wazazi basi tu mungu yupo
2026-11-08 18:15:28
1
miss.simi02
Miss ♎️💖 :
Me nikija huko mtaniua tena, mimi makambako sirudi😂
2026-11-08 17:59:48
2
user2888271747770
semoragasisi958 :
msingeweka mtandao t hii kitu
2026-11-08 17:59:21
2
really_manzii
it's manzi 🦋 💍 :
huyu yupo kma mdg ang Kam an pepo jmn
2026-11-08 17:37:18
0
To see more videos from user @mhandisi_nyingi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About