@sweet_critique: #tiktokshopjumpstartsale #tiktokshopcreatorpicks #tiktokshopblackfridaysale #tiktokshopcybermondaysale #tiktokshopfalldealsforyou AI-generated product visuals. Not filmed in real location.

Sweet Critiques
Sweet Critiques
Open In TikTok:
Region: US
Tuesday 10 November 2026 00:00:34 GMT
22
0
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @sweet_critique, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekemea vikali vitendo vya urasimu, uzembe na ubinafsi vinavyofanywa na baadhi ya watumishi katika sekta ya afya nchini, akisisitiza kuwa serikali haitakubali taratibu za kiutendaji kutumika kama sababu ya kuchelewesha huduma kwa wagonjwa. Dkt. Mwigulu amesema kuwa hakuna sababu ya msingi inayoweza kuhalalisha mgonjwa kunyimwa au kucheleweshewa huduma ya afya kwa kisingizio cha kukosekana kwa vifaa vidogo, akitolea mfano wa akina mama wajawazito wanaofika hospitalini wakiwa katika hatua ya uchungu lakini badala ya kuhudumiwa haraka, wanaanza kuulizwa vifaa kama beseni. Amesisitiza kuwa maisha ya mwananchi yanapaswa kupewa kipaumbele kuliko taratibu zisizo za lazima, akiwataka wataalamu wa afya kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia utu, huruma na dhamana waliyonayo ya kuokoa maisha ya watu. Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza na wananchi katika viwanja vya Stendi ya Mwanhuzi, Kijiji cha Bomani, wilayani Meatu mkoani Simiyu. Amesema serikali haiwezi kukubali uzembe na ubinafsi wa baadhi ya watumishi kugeuzwa kuwa utaratibu wa kawaida katika utoaji wa huduma za afya, hasa pale ambapo ucheleweshaji wa huduma unaweza kuhatarisha maisha ya wagonjwa. Aidha, amewataka watumishi wa sekta ya afya kujitathmini na kuhakikisha wanatoa huduma kwa wakati bila kuweka vikwazo visivyo vya lazima, akisisitiza kuwa wito wao mkubwa ni kuwahudumia wananchi na kulinda maisha yao. Ameeleza kuwa ni muhimu kila mtumishi wa afya kutambua kuwa mgonjwa anayefika hospitalini anahitaji msaada, hivyo anapaswa kupokelewa na kuhudumiwa kwa haraka na kwa utu bila kujali hali yake ya kiuchumi au mazingira aliyotoka.

About