naomb kuuliz na yule alie mkana yesu mala tatu kabla jogoo kuwika alichagulia wa ngap wakat wanachagulia wanafunz 12
2026-11-10 01:11:29
2
julienkambale590 :
yesus mukubwa
2026-11-10 10:11:28
1
Dominique :
amen
2026-11-10 11:23:23
1
Joseph magige :
yesu
2026-11-10 17:28:20
0
joshuamwampamba :
ameni
2026-11-10 09:52:42
0
user2373818490294 :
amina
2026-11-10 08:23:03
0
Sammy Da Cammy :
Sio kweli, Yuda alimtambua sana Yesu ni mkombozi aliyekuwa anangojewa, shida yake ilikuwa ni moja alikuwa ni mtu mwenye tamaa sana na pesa/mwizi.
Aliamini kuwa akipewa hongo ya pesa ya kumsaliti Yesu (kuonesha alipo) atazipiga ila kwa kuwa Yesu ananguvu zisizo za kawaida atawashida