na akhera kaseme ivo ivo unatekeleza amri ya mahakama
2026-11-11 15:19:03
28
DRIP 🚭 :
kuna maisha baada ya MAHAKAMA jomba
2026-11-11 18:13:14
25
🇵🇸 :
Kwani Hamna hati za mauzo
2026-11-11 15:04:34
0
Kurraishi20@ :
Nyie tekelezeni kwa mahakama ila mahakama ya Allah ni haizulum wala haina rufaa Allah ndio Hakkimu☝️☝️☝️
2026-11-11 16:19:15
7
Mohammed Masuod :
endee ivoo ila nakubusha tu kuna mahakama nyengne baada ya kuondok dunian
2026-11-12 11:17:03
4
Yahya Ali :
Hamuda idadi vipi wakati nyumba nyengine zipo salama.
2026-11-13 06:51:57
1
fakhtaliy :
kuna na Amri ya Mungu
2026-11-13 16:09:15
1
busy :
dah! kiukweli nnjaa ,njaa,nnjaa, ,,tusipo kuwa nayo makini,, tutaingia dhambini bila kujali????
2026-11-13 11:13:44
1
Yussuf518 :
siwez kujua shida nin ila Wallah mung atawalipa
2026-11-13 12:16:33
1
user7316507581416 :
kutuzidisha umasikin tu
2026-11-13 10:26:39
1
Ð么𝕋𝕀 シ 𝔹么𝕐 _ 𝔾么𝕄𝕀ℕ𝔾 :
yaani mtu ameishi Zaid ya miaka 50 Leo inakuja kumwambia kavamia ila serikali 😁😁
2026-11-13 06:05:11
1
brown R :
amri za Allah waxitekeleza.
2026-11-13 08:56:48
0
Jeey boda :
hongeren sana punzi jeuri
2026-11-13 11:54:20
1
user2567112193656 :
Naa kwa mungu sema ivoivo
2026-11-12 16:42:11
2
chim@@🎀🎀 :
Duuhb
2026-11-12 17:51:17
1
Mansour Suleiman 0.98 °^®™✓ :
Akhera kitanuka Sana
2026-11-12 15:26:07
1
Terebina03 :
Haya Allah ndo Hakim
2026-11-11 20:23:35
3
Хасан Занзибар 🇧🇬/🇹🇿 :
Na kwa mungu uje useme ivo ivo
2026-11-13 03:35:04
1
Gangster Maninja :
oyaaa hatakijiko baba serikali kweli hiii
2026-11-12 12:22:46
1
sabri :
Kijich sehemu gani subhana Allah
2026-11-12 11:34:08
1
Rashid Habibu :
ARDHI NI MALI YA SERIKALI NA SERIKALI NI WATU NA WATU NDIO WAMEJENGA AMBAO WAO HAO WATU NDIO SERIKALI SASA KAMA WATU NDIO SERIKALI KWA NINI MUSIWAACHIE AU SERIKALI NI KIKUNDI CHA WATU EBU TUPENI TAFSIRI HALISI YA SERIKALI
2026-11-11 17:58:32
1
user6614062239322 :
JE? AMRI YA MUNGU MUNAITEKELEZA?? THAN KUNA MAISHA BAADA YA AMRI YA MAHAKAMA,
2026-11-12 13:36:41
1
Xide mgen 0⃣6⃣ :
na kwa mungu kasemen ivo ivo mmetumwa na mahakama
2026-11-11 16:21:24
2
To see more videos from user @jombamataba, please go to the Tikwm
homepage.