@almecky_tz: Mtoto mchanga wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa siku moja ameokotwa akiwa ndani ya begi jeusi katika eneo la Mkorosoni, Wilaya ya Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba. Mashuhuda wa tukio hilo wamesema kuwa walipofika eneo la tukio walilikuta begi hilo likiwa na mtoto huyo ndani, ambapo walimtoa na kumpeleka katika Hospitali ya Chakechake kwa ajili ya kupata huduma za awali za matibabu, baada ya kubaini kuwa hakuwa amepatiwa huduma muhimu tangu kuzaliwa. Akizungumzia hali ya mtoto huyo baada ya kupokelewa hospitalini, Muuguzi Mkunga wa Hospitali ya Chakechake, Fatma Abdalla Suleiman, amesema mtoto huyo alipokelewa majira ya saa 2:30 usiku akiwa hai na katika hali nzuri ya kiafya, licha ya kutokuwa amepatiwa huduma za awali. Kwa upande wake, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba, Abdalla Hussein Mussa amethibitisha kupokea taarifa za tukio hilo na kueleza kuwa Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi. (Credit @zbc_zanzibar) #Zanzibar #Tanzania #Habari #Football #Trending
almecky_tz
Region: TZ
Thursday 12 November 2026 18:45:27 GMT
Music
Download
Comments
qutty chiya :
MUNGU TUPE NA SISI TUNAOKULILI KILA SIKU😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-11-12 19:45:45
181
@Chama :
Pemba kushaanza kuchangamka
2026-11-12 20:05:31
49
Double tee :
Nishampend huy kak tukalee mtoto wetu😂
2026-11-13 05:06:25
1
champion boy25 :
duh kunawatu wanatafuta watoto wao wanawatupa 😭😭
2026-11-12 19:13:49
64
Tehran :
subuhanallah😭😭😭 amenitoa machozi uyu mtoto allah mkuze na amjalie furaha ktk maisha yke yote
2026-11-12 19:52:00
26
ف🦌❣️ :
Wallah nimelia 😭
2026-11-12 20:39:37
8
ابو احيد بن شعبان السبكي :
ni msiba mzito sana watu wanatft watot hawapat kuna watu wanatup watoto subhn llah
2026-11-12 19:11:30
25
30 :
Jmani E mungu wenzangu wanamtupa mm nakulilia Yarab tupe na cc wenye kher na cc
2026-11-12 19:54:49
15
Umm rahiim :
I would like to adopt the child, how can I have all the details, I will be sending all the expensive of the child , subha'allah
2026-11-12 22:02:54
1
حبيب سيف حمود Al mafaadhy :
alaf kitoto kizuri mashaallah
2026-11-12 20:45:21
7
harith💔 :
Nani aliye wambia kama mtoto ni malaika wa mungu?
2026-11-12 19:14:22
8
Dayana s :
si mnipe huyo mtoto jamani Nita washukuru sana
2026-11-12 22:47:36
5
cutty 🥰🥰 :
nigaiyen mm jaman [Crying][Crying][Crying][Crying]
2026-11-13 05:27:48
0
cute :
mtihan kwa kwel mkoroshon yetu Allah amkuze vyema mtt wetu
2026-11-12 19:14:39
7
Bin Abeid :
Boda kuwa mlezi wa huo mtto hata kama serikali ndy wasimamizi zaid inshallah.
unakitu naona Cha ziada
2026-11-12 20:28:33
15
madumba shange🇹🇿🇹🇿 :
mungu akubariki wew bodaboda
2026-11-13 01:19:02
6
hayyat 💕💕 :
Pemba ina mashaka walahi hta naogopa kuenda
2026-11-13 01:06:31
0
Kipenz cha watot wang ALLAH nd :
Allah mkubw jmn
2026-11-13 01:33:06
6
Smartgirl :
watu wanatafuta watoto kwa shidaa wengine wanakosa kbs daahhh
2026-11-12 20:13:51
7
brina :
Kaweka na pazia atakae muokota awekedirishan ili mtt asipate vumbi🥺
2026-11-13 04:19:01
4
mama Atka💖 :
Allah naomba na mm unijaaliy niokote mtoto maana😭😭😭
2026-11-13 04:50:49
0
mawaidha. :
mamake sahizi anaangalia tu
2026-11-12 23:43:31
3
🥰🥰🥰💯(+_+)(*_*)>. :
jamani wanawake mwaelekea wapi kuna wengine watafuta watoto mtu yuwamtupa kweli jamani
2026-11-13 04:39:14
0
user4096006470835 :
uyu mwanamme nimempnd🥰
2026-11-13 05:07:29
1
Amar Mussa :
usikute mwar uyoo alikuwa na mimba kwao hawakumjuwa duh
2026-11-13 01:45:13
0
To see more videos from user @almecky_tz, please go to the Tikwm
homepage.