@tztrendsmedia: Mmoja kati ya Watanzania waishio nchini Canada, wanaoipeperusha vyema bendera ya Bongo Hiphop ni pamoja na @tabisodecombs ambaye ameachia project yake mpya ‘Moto wa Tipa’ akiwa amefanya na producer @mesenselekta26 🙌🏾 Pita kwenye Youtube Channel ya Tabiso kuitazama Video nzima kisha njoo utuambie unampa marks ngapi kati ya 0% - 100% • #TZTrendsMedia #TZTEnt