Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@enmanuel7244:
Enmanuel
Open In TikTok:
Region: DO
Friday 20 November 2026 18:55:53 GMT
62
2
1
0
Music
Download
No Watermark .mp4 (
1MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
1MB
)
Watermark .mp4 (
0MB
)
Music .mp3
Comments
Enmanuel :
2026-11-20 19:13:56
0
To see more videos from user @enmanuel7244, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
01;Biashara haianzishwi kwa mkopo, biashara inaanzishwa kwa kusave.. 02;Unapo anzisha biashara location ni muhimu kuliko chochote, ukikosea location umeua biashara.. 03;Biashara haianzii mfukoni,Biashara inaanzia kichwani, kama unaanzisha biashara kwa kuangalia mfuko wako basi utachelewa sana 04;Kama haujui kutabasamu basi usifunguebiashara,maaana utakuwa una tununia wateja wako na ukifanya hivyo tutakuhama kwa kasi sanaa.. 05;Unapo fanya biashara na mtu,mfanya kazi wako au ndugu yako Tumia akili sana utanishukuru.. 06;Usilete undugu kwenye biashara utaishia kufilisika. 07:Sio kila biashara inayo lipa au inayosifiwa kuwa ina faida sana ,nilazima na wewe uifanye mengine yakupite... 08;Usiwachukie washindani wako wa biashara, jifunze kutoka kwao kwani kufanya hvyo kutakusaidia kujua mbinu za kuwashinda, na kuongeza ubunifu... 09;Sio kila ushauri unao pewa kwenye biashara yako ni wakuusikiliza kwa maana ,ushauri mwingine 10;Usipendelee sana kucopy ,kila wazo la biashara kwa watu ,fanya kwa uwezo wako na fwata nafsi yako na akili yako inavyo kuongoza.. 11;Imani kwenye biashara ni ya Muhimu sana tena ndio jambo la kwanza ,Mtangulize Mungu kwenye biashara yako ,hatakama ni ndogo kiasi gani kunawatu hawapendi na hawataki hata hicho kidogo ulichonacho... 12;Jifunze kilasiku ,unavyo jifunza unazidi kuwa mtu hatari sana kwenye biashara.. 13;Take more risk , kwenye biashara Mtu anaye take risk kubwa ndio huibuka na mafanikio makubwa ,lakini sio kila risk lazima uichukue utakufa.... 14;Kama huwezi kuitangaza biashara yako, funga biashara maana wewe hauwezi biashara.. 15;Usilete mapenzi kwenye biashara utakufa maskini 16;Usiingie wala kuwekeza kwenye biashara usiyo ielewa kwa kina zaidi, utanishukuru... 17;Unapokuwa kwenye majukumu ya biashara yako weka simu pembeni punguza na acha kuwa bize na simu yako,utanishukuru siku moja. 18;watu wasipo kuamini Jiamini wewe mwenyewe na focus na kile unacho kiamini kwenye ubongo wako... 19;kama huna mtaji akili yako ni mtaji tosha hakikisha unaitumia akili yako kupata mtaji na usiniulize nitaitumiaje Tumia akili uliyo zaliwa nayo... 20;Usishindane wala kujilinganisha na wafanya biasharawakubwa utachoka buree, shindana na jilinganishe na watu wa level yako majirani zako ulio nao kila siku... 21;Kama unaona unamaono makubwa ya kufanya biashara kubwa za viwango vikubwa tafuta watu sahihi ,watakao iamini na kuielewa vision yako.. 22;kama umeshindwa kwenda mwenyewe nenda na wenzako,some times Team work inalipa japo sio kila mara kuwa muangalifu.. 23:Utajiri ni watu, Muombe Mungu akupe watu watakao kufungulia milango ya kukufikisha kwenye utajiri... 24;ukigundua umepotea njia hatakama ni mbali kiasi gani usiogope kurudi nyuma na kuanza upya.. 25; Usisahau kutufollow, kama una vision kubwa ,upate maarifa ya kukufikisha kwenye ndoto zako,usisahau kushare kwa rafiki na ndugu unao taman pia siku moja watimize maono yao na kufika mbali, Ni amri gani imekugusa zaidi , au umewahi kuipitia kwenye maisha yako tuambie kwenye coment.. #maarifa #foryou #trending #motivation
How to make Loud paper popper 💥🤯 #paperpopper #papercrafts #DIY #creatorsearchinsights
میں چاہتا ہوں وقت مجھے عاجزی سکھائے تاکہ کامیابی ملنے پر غرور نہ ہو بلکہ شکر میرے لہجے میں ہو
#usa🇺🇸 #canada_life🇨🇦 #congolaise🇨🇩🇨🇬 #france🇫🇷 #londres🇬🇧
Rambut lepek bikin mati gaya? Saatnya upgrade penampilan kamu! Pake Captain Hair Powder with Aloe Vera biar rambut auto bervolume, keliatan tebal natural, dan matte finish seharian. Nggak cuma bikin ganteng, ada kandungan Aloe Vera, Vitamin C & E yang bikin kulit kepala tetep seger dan sehat. Cuma butuh beberapa detik buat bikin style rambut impian kamu! 🚀✨ *#clippersCHS #clippers #ngefamousidxcaptainhairstyling #CeliboyKayesCHS*
#creatsearcheinseight #trend #fyppppppppppppppppppppppp #foryoupagе #creatsearcheinseight
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy