@bur_honey: #CapCut ✨ USIKU WA AMANI – THANAWIY CREW ✨ Dodoma, maandalizi ya 26 Desemba 2026 yamekamilika! 🔥🔥 Unatafuta sehemu ya kutumia tarehe 26 Desemba kwa burudani, Qur’an, Qaswida na mazingira ya kipekee? 🥳✨ Usikose USIKU WA AMANI – tukio kubwa litakalokutanisha wazee, vijana na watoto ❤️. 🎤 THANAWIY CREW wamekuandalia sehem.ya kupata burudani wewe na familia yako 📍 Ukumbi wa Mabeo – Dodoma 📅 26.12.2026 🕐 Tamasha: Saa 1:00 hadi 6:00 Usiku 🎟️ TIKETI ZINAPATIKANA SASA! ⭐ VIP – TSH 50,000 🎫 REGULAR – TSH 20,000 👥 WATU 10 VIP – TSH 450,000 👥Watu 10 Regur - 150,000 📖 🔥 Usisubiri hadi siku ya tamasha! Jipatie tiketi yako mapema, waambie ndugu, marafiki na familia — 26 Desemba tunakutana Ukumbi wa Mabeo, Dodoma! 📲 Wasiliana nasi sasa kwa ajili ya tiketi na booking ya meza +255 653 995 266 0698 270640 USIKU WA AMANI — Usikose tukio hili! ❤️🔥
Last Born 👶🍫
Region: TZ
Sunday 22 November 2026 08:29:54 GMT
Music
Download
Comments
@twangakazumari :
mwamba muhya
2026-11-23 10:19:52
1
Abdallah Mkali :
Doooooh
2026-11-23 11:06:58
1
israah :
mashaalah
2026-11-22 09:00:01
1
ummy naah🌹 :
mashallah bro🌹
2026-11-22 08:36:10
1
side bare :
weeee muhiyaa nitakupa dada
2026-11-22 17:21:42
1
Abduly :
we muhiya
2026-11-22 15:51:38
1
Rahmaty🦋🦋 :
🥰🥰🥰
2026-11-24 10:18:44
1
To see more videos from user @bur_honey, please go to the Tikwm
homepage.