@maicorne: Không tranh , không giành , sống an yên. Biết đủ , biết vừa , đời bình yên🪷⛰️ #nuibaden #70tayninh #fyp

Sốptoànđồiu
Sốptoànđồiu
Open In TikTok:
Region: VN
Tuesday 24 November 2026 13:10:37 GMT
9946
399
13
19

Music

Download

Comments

jaeyoonhoon2008
Jae Yoon Hoon🇻🇳🇰🇷 :
Chúng mik đã tới 24/11
2026-11-27 16:26:40
1
htt1120
Huỳnh Thi :
A Di Đà Phật
2026-11-24 13:18:10
0
nguoidepthichmatcha
T. :
Chúc bạn ngày tốt lành, sẽ gặp lại bạn ở Bà Đen lần nữa nhé🥰
2026-11-26 14:54:38
0
thuyaiemily
Thúy Ái Emily :
xinh qá
2026-11-26 04:52:30
0
phuongthao27.04
𝓟𝓱𝓾̛𝓸̛𝓷𝓰 𝓣𝓱𝓪̉𝓸 🎀 :
🥰Tt
2026-11-26 07:49:05
0
.bedii08
Duy Nguyễn :
Ttt
2026-11-27 05:45:34
0
chi.tai.368
Chí tài :
🥰❤️
2026-11-25 10:55:52
1
embeiu.2004
Kim Xuyến🍒 :
❤️❤️🥰
2026-11-25 11:30:42
0
ductv1996
Đức lê :
💐💐💐
2026-11-25 14:17:24
0
htt1120
Huỳnh Thi :
🪷🪷🪷
2026-11-24 13:18:17
0
vinhtran059
Thanh vinh.94@🙋🙋 :
🥰
2026-11-25 14:23:55
0
To see more videos from user @maicorne, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

FAIDA  NA  MATUMIZI   YA  MTI  WA    NDULELE/TULATULA/MTUNGUA Ania-   MKUBALIWA  KATIKA  TIBA.                    (Part, 1)     Huu ni miongoni mwa miti yenye maajabu na mtumizi mengi sana katika ulimwengu wa tiba.Mti huu unatibu matatizo mengi sana, yakiwemo magonjwa ya kibailojia, matatizo ya kichawi na kijini.   Tuangalie faida na matumizi mbalimbali yanayopatikana kutokana na mti huu.      1.KUUWA UCHAWI MWILINI.     Chukua majani ya ndulele kisha yapondeponde alafu weka kwenye maji,kisha changanya na magadi kidogo na jivu la jalalani kisha tumia maji hayo kwa kuoga asubuhi na jioni kwa muda wa siku tatu mfululizo inshaallah utakuwa umeuuwa uchawi huo.   2.KUMUACHISHA MTU NA TABIA MBAYA AU KUMTULIZA MTU.    Chukua ndelele saba zilizoiva kisha nenda katika njia panda saba kisha kila njia panda moja ukifika vunja ndulele moja kwa nia ya kumtenganisha mtu huyo na tabia hiyo au kumtuliza mtu mfano wa nia-
FAIDA NA MATUMIZI YA MTI WA NDULELE/TULATULA/MTUNGUA Ania- MKUBALIWA KATIKA TIBA. (Part, 1) Huu ni miongoni mwa miti yenye maajabu na mtumizi mengi sana katika ulimwengu wa tiba.Mti huu unatibu matatizo mengi sana, yakiwemo magonjwa ya kibailojia, matatizo ya kichawi na kijini. Tuangalie faida na matumizi mbalimbali yanayopatikana kutokana na mti huu. 1.KUUWA UCHAWI MWILINI. Chukua majani ya ndulele kisha yapondeponde alafu weka kwenye maji,kisha changanya na magadi kidogo na jivu la jalalani kisha tumia maji hayo kwa kuoga asubuhi na jioni kwa muda wa siku tatu mfululizo inshaallah utakuwa umeuuwa uchawi huo. 2.KUMUACHISHA MTU NA TABIA MBAYA AU KUMTULIZA MTU. Chukua ndelele saba zilizoiva kisha nenda katika njia panda saba kisha kila njia panda moja ukifika vunja ndulele moja kwa nia ya kumtenganisha mtu huyo na tabia hiyo au kumtuliza mtu mfano wa nia-"Ewe mwenyezimungu hapa ni njia panda sehemu ambapo watu wanagawanyika na kutengana, na mimi nimekuja kumtenganisha furani bin furani na tabia yake furan kuanzia sasa na kuendelea aachane na tabia hiyo au atulie asiwe na papara katika jambo furani" utafanya hivyo katika njia panda saba kisha utarejea nyumbani. 3.MVUTO MKALI WA MWILI. Chukua mbegu za ndulele zianike kisha zisage upate unga wake kisha unga huo changanya na mafuta yako ya kupakaa asubuhi na jioni.Hakika mwili wako utakuwa na mvuto mkali sana. 4.KUPENDA WATU BIASHARA YAKO. Chuma kwa nia maua ya ndulele kisha nenda kaweke katika biashara yako kwa nia ya kufanya watu waipende biashara yako,hakika ni mvuto wa kutosha katika biashara. 5.KUMVUTA MTU ALIOKO MBALI/MUME AU MKE AU NDUGU YAKO ALIOKO MBALI. Chukua mbegu za ndulele zilizokauka,mbegu za mchicha,mbegu za ufuta na chumvi ya mawe.kisha ufikapo usiku changanya vitu hivyo pamoja kisha choma katika kitezo au jiko la mkaa au kaanga pamoja katika chungu au sufuria kwa nia ya kumrudisha mtu huyo kwako.Fanya hivyo kwa muda wa siku saba mfululizo inshaallah atarudi mtu huyo. nitafute 0784847953 +255784847953

About