@lydiadaniel32: 😭😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌

Joyce Daniel
Joyce Daniel
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 28 November 2026 04:59:35 GMT
15477
355
82
23

Music

Download

Comments

lubala013
Willi :
Maisha haya guarantee. Kwa muonekano wa huyo mwinjiristi alionekana kuwa very strong, mtu wa mazoezi. Zaidi alimwamini Mungu kwa kila jambo. Na alisimamia sana kile alichokiamini. Alikuwa mtu mwema sana.
2026-11-28 09:54:40
4
amilen63
blessing :
aliupenda huu wimbo sana
2026-11-28 09:02:54
4
vero34770
vero :
poleni sana wanafamilia.ndo maana nilikuwa simsikii jamani kumbe alikuwa mgonjwa!
2026-11-28 10:07:58
1
magrethhidaya6
magrethhidaya :
alipenda sana kwenye kipindi chake
2026-11-28 09:15:12
3
mobtv62
MOB tv Nestory mkalimotonestor :
mh? duh poleni sana
2026-11-28 10:07:08
2
user7965439858834
Aserd James :
Nyakati za mwisho hizi,mungu atupe mwisho mwema
2026-11-28 12:15:21
1
kulwamai
kulwa Maila :
polen sana Wana familia na kanisa Kwa ujumla mungu atutie nguvu ila ikumbukwe kuwa tulitoka mavumbini hakika tutalud sisi sote niwake 🙏🙏🙏
2026-11-28 09:57:02
2
user84515287774837
user84515287774837 :
Jamani poleni
2026-11-28 13:39:15
0
user8598229773213
senator of people :
huu wimbo unaitwaje jamani.
2026-11-28 13:19:14
0
yusuphrubambo
Yusuph Rubambo :
ama kweli duniani tunapita
2026-11-28 12:10:18
1
jacksonmmbando5
jacksonmmbando855 :
🙏Mungu akupokee
2026-11-28 12:10:03
0
modesta.bukuku
First Born :
jamani huu niukweli au
2026-11-28 09:51:09
1
born.to.suffer12
Born to suffer :
Ni kweli ?
2026-11-28 11:54:04
0
princemahoner3
prince mahoner3 :
Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.🙏
2026-11-28 12:25:35
0
salmarashid321
Salma Rashid :
jaman polen nimekumbuka na wimbo wake akiwa anaingia kwenye kipindi
2026-11-28 12:21:58
0
jenipha.gasisi
Jenipha Gasisi :
pole familiy
2026-11-28 11:44:39
0
user3146179628006
Annie :
rip mtumishi wa Mungu
2026-11-28 11:03:37
0
perismnyili
Peris Mnyili :
Ni kweli lkn? maana hamaminiki
2026-11-28 09:30:33
0
vedasto.mboneko
Vedasto Mboneko :
pole sana family
2026-11-28 09:42:21
0
jovitangalindajovita7gma
jwn :
Amefia wapi jamani
2026-11-28 09:06:46
1
user4659429130453
benjamin enock :
duu kifo hiki jamani alikua anatoa elimu nzr sana na tiba zake, rip pasta,
2026-11-28 10:57:45
2
mwanzojoji
Mwanzo Joji :
uyu.kitambo sna nilikua namckikiza star tv
2026-11-28 12:41:27
1
reay.sanga
Rachel🤍💔 :
Ameenda mzima mzima ndugu yetu 🕊️🤧🤧
2026-11-28 08:02:14
0
miliam7164
miliam :
natembea mm ni marehemu😭😭😭😭🙏
2026-11-28 12:29:14
1
jacksonsumun
JACKSON SUMUN :
Pumzika kwa amani Dr Nakumbuka sana Miaka ya 2012_ 2013 alikuwa anakuja GAMBO PARIS HOTEL GEITA
2026-11-28 12:13:26
2
To see more videos from user @lydiadaniel32, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About