@utofyoro: Vita HUANZISHWA KWA MANENO

akhuy
akhuy
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 20 June 2026 06:59:46 GMT
100515
10469
627
213

Music

Download

Comments

radhia708
Dhiyabutterfly🦋🦋♥️ :
Tumbo lililokubeba limebarikiwa masha Allah,Allah akuzidishie ufahamu zaidi naamjaalie kheri mamaako siku zote
2026-06-20 10:22:25
495
mjasiri1401
@mjasiri1401 :
Kaka I got your point. Ila nakuomba urudie hii clip, kwa undani zaidi, neno langu la ziada kwavile umegusia dini, nami nasema ivi, nionavyo mm ni ubinafsi2 umetutawala, uvivu tunao kweli pia na aibu ya kuajiriwa baadhi ya ajira ngungwa, mana toka tukiwa wadogo tulikuwa tukisikia (kazi zakinyamwezi) bro.. maskini jeuri ni msemo2 tusipumbazike... one love zanzibar Tanzania 🇹🇿 🙏
2026-06-20 14:45:02
132
user3530776888742
Blackisbeautiful :
i got u bro, god bless u and your family
2026-06-21 07:11:09
3
swisma0
Swisma_cake&Bites :
hiki ndio nlikua namani kukisikia muda mrefu Allah akulipe kwa hekima
2026-06-20 14:43:25
152
alfanniza
alfan ocean food :
@ally:weye unafaa kuwa kiongonzi wa vijana wote Zanzibar mungu akulinde akuhifadhi...
2026-06-20 17:59:27
71
kalabamchawi96
kalaba :
UNA BUSARA YA BARA 🥰
2026-06-20 19:59:31
50
kiyaya419
kiyaya😜 :
mmeanza pona mmoja mmoja
2026-06-20 15:52:31
42
dullahmkoye
dullahmkoye :
yuhu jamaa na muelewa tangia first time namuona
2026-06-20 14:00:50
46
user8088031441228
ally :
weye unafaa kuwa kiongonzi wa vijana wote Zanzibar mungu akulinde akuhifadhi...
2026-06-20 10:42:41
61
harounboy816
haroun Muslim :
huyu jamaa anakili ya miaka ya mbele🫡🫡🫡
2026-06-20 14:51:06
32
princesskidoti13
princesskidoti539 :
Ningetamani uwe mkwe wangu nimekupenda bure Ba mkwe🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-21 06:35:36
9
barakachitengule
the fighter :
akhuy Allah akuhifadhi na akulipe pepo sawa na daraja atakayopenda mola wako kesho inshallah🤲
2026-06-20 17:56:59
25
anjero592
The traveller :
jah bless you bro!!
2026-06-20 17:00:00
1
f_official09
f_Official255 :
kama unamkubali utofyoro gonga like apa
2026-06-21 04:58:11
15
john.joachim2
Double J Bestman :
🙏🙏🙏mashaallah ❤️😍 uislamu ndivyo unavotaka Allah atuongoze kwa wema
2026-06-21 06:02:22
12
poper7756
Poper77 :
Oya wee mzee akili yako ya mwaka wa mbele kabisa mzee wangu Mungu akubless!!
2026-06-21 10:50:59
6
yangbraver
Yang_Bravor :
fact respect sana broo 💯
2026-06-21 08:09:59
3
yahya.4279
Yahya 4🖐🍁 :
mwanangu weeee umeongea point 👉 Tanzania 🇹🇿 1 Zanzibar 1🤝
2026-06-20 08:01:58
20
khamisabdallahoma
Khamis abdallah omary Khamis m :
Allah akuhifadhi
2026-06-20 07:41:20
37
giftbieb8
💕giftbieb💖 :
mashalla miwani nimeipenda🥰😅
2026-06-20 17:25:19
25
bigfeisal28
bigfeisal28 :
mwenyezi mungu akujalie uishi kwa upeo wakuona mbali hvyohvyo inshaalah🙏
2026-06-20 07:14:18
25
arkamamour
arkam :
mashaalah umeongea point bro usichoke kualingania vijana wezetu
2026-06-20 11:15:39
29
user9690770132405
acha zarau :
Leo umeongea vizr sn faza 🙏🙏🙏🙏
2026-06-20 17:40:55
6
huslter006
Bin R@sheeed official :
ameen inshallah 🙏 mung azd kkfnyia wpc ktk jmbo lk utofyorooo🥰
2026-06-20 16:13:38
12
To see more videos from user @utofyoro, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About