wangap Wana weza kutoa Figo kwa ndugu zao!!? binafsi siwezi
2026-08-26 11:36:15
57
M.J :
Mi mwenyewe ndugu yangu akiumwa figo sitoi Mungu anisamehe🥹
2026-08-26 11:47:48
75
Kamili Paje :
Duuh mara nyingi wadogo wanashindwaga sana kusaidia wakubwa zao msamehe saba mara sabini
2026-08-26 11:02:29
53
sashavent.1 :
iv figo kufeli inasababishwa na nini😥
2026-08-26 12:52:03
17
___Micn____ :
tuchange ela
2026-08-26 12:21:07
0
Herman Njiwa🇹🇿 :
mzee msamehe tu, kutoa figo si mchezo ndugu yangu, ukiangalia na hawa madoctor watu tena.
2026-08-26 15:56:09
10
Anta :
nayinyi mnaosema hamuwezi kutoa figo je nanyinyi mkiumwa figo msisaidiwe? jamaa anaongea kweli inamuuma kwakuwa nindugu yake
2026-08-26 12:39:30
12
livingicon_ :
Nadhani hii inatokana na kila mtu na familia anayotokea and how mmelelewa, binafsi siezi muona dadaangu ama kakaangu anakufa na nnaeza mpa figo moja na wote tunaeza endelea kuishi…maisha tunaishi mara moja namnyima leo kesho napata ajari ya gari nafariki na izo figo zangu…mimi nawapenda ndugu zangu na ntawatolea
2026-08-26 15:44:42
6
sameed g :
asante
2026-08-26 11:22:47
0
mariam :
figo hpo hn kosa il pesa endekup
2026-08-26 12:53:04
0
CHEETAH :
apo kwenye figo nilimwambia mumewangu Figo zangu zipo kwaajili ya wanangu na ndugu zangu mpka leo atuko Sawa nikununiana tu
2026-08-26 11:52:31
12
esterlyimo532 :
duh watu wanaroho mbaya sana
2026-08-26 11:16:49
7
dotto beda :
jamani ndugu zetu wanashida
2026-08-26 11:00:26
6
mama n :
mimi mwenye siwezi mtoa figo ndugu la da mwanangu wa kumzaa
2026-08-26 11:11:49
6
️ :
mi niko radhi kumsaidia yoyote yule
2026-08-26 17:30:46
2
Rebeka Rebeka :
ndugu wabaya sana Bora mtu Baki akiamua kujali ana kujali
2026-08-26 13:52:07
1
REMMY :
Sitoi figo na mtu asinipe figo km imefika mwisho basii kwan nan ataishi milele!
2026-08-26 11:58:34
0
Exorcist :
nikajua hata msaada wa hela kumbe figo hata mama yangu mwenyewe siwezi kumtolea😂😂
2026-08-26 17:03:19
0
Golden Y9 :
Msaada sio haki yako bhaan🥲mtu anadsaidia akitaka bhaan
2026-08-26 16:29:59
3
PAPE BRAND FASHION 🔥✅ :
Aweee sitoi
2026-08-26 12:57:52
1
Mohammedy DSM :
kweli kaka nimefanya kaz na broo miak 10 nimeambulia kulal kwenye mabox anawasadia watu wengine ndugu wa sasa ni jau
2026-08-26 12:06:44
3
Mimaah Outfit🛍️ :
Mmmh nisiwe mnafk me mwenyewe siwez😒🙌
2026-08-26 12:17:13
0
Aggyjona❤❤ :
Kweli kaka hata mimi nisingeweza naogopa ila kama hela ntakusaidia
2026-08-26 12:37:08
0
namilembe inayah :
babu hilo swala la figo ni mtihani .hata mimi sitoi
2026-08-26 13:36:03
4
Waheed_7🤍 :
Mm nilimtolea Pumbu moja Daah nikikumbuka🥺🙌
2026-08-26 15:14:10
0
To see more videos from user @akismediatz, please go to the Tikwm
homepage.